Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Nigeria U17 wanatisha Kama hawa vijana watalelewa vizuri wanaweza kuja kuwa tishio baadae Hongereni vijana ... mumeonesha munaweza
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kocha muingereza stewart hall ametangaza kujiuzuru kufundisha klabu ya Azam fc baada ya kukubalina na wamiliki wa timu hiyo, stewart aliwaaga benchi la ufundi na wachezaji mara baada ya mechi na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
msimamo wa ligi yanga-25 azam-24 mbeya city 24 simba(sikumbuki sababu wanapanda na kushuka?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Rekodi ya DM kwa michezo yake 16 ya kwanza msimu huu. Kapoteza 3 Katoa sare 3 Kashinda 10 Kikombe 1 = Ngao ya hisani. Mourinho: Mechi 16. Kapoteza 3 Katoa sare 3 Kashinda 10...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninajua upande wa pili roho zitawauma
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Habari ndio hiyo kama utaki kaoooooooooooooooooooooogeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msg hiiiiiiii ni angalizo tu kwa ajili ya jumamosi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
leo kupitia kwa jamaa mmoja aliyekaribu na uongozi wa Azam Tv, Ni kuwa kuna mkakati wa kuingia udhamini mnono na Mbeya city hili kuisaidia hii timu kutimiza ndoto zake na hivyo kufikia malengo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo ni burdani ya kufunga mzunguko wa kwanza. Taifa kutakuwa na hitimisho kati ya Yanga v/s Jkt Oljoro saa 10:00 jioni. Chamazi kutakuwa na wababe hawa wanaongoza ligi kati ya Azam v/s Mbeya...
1 Reactions
143 Replies
14K Views
MECHI ya jana tumezifunga Team nyingi sana aisee... LIVERPOOL... Mashabiki wao ambao tumewaachia jeraha walidhani ni muda wetu wa kuaibika... CHALI!! MANYUU: Kwa sababu weekend tunacheza nao...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimetoroka kazini kwasababu yao, na mpira waliopiga leo, Hawa jamaa wamenishawishi kuwa shabiki wao,Azam waliutafuta mpira kwa tochi. Natamani sana wanaojiita wakongwe wa soka(simba na yanga) wafe...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
timu ndio kwanza zinaingia uwanjani
1 Reactions
21 Replies
2K Views
wadau kwangu hili mi linanishangaza, kama upo unaangalia mechi ya azam na mbeya city utashangaa kitu kimoja ukaribu wa rangi za jezi. hivi timu zetu huwa hazina mfumo wa jezi za ugenini na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simba imepigwa faini ya milioni 25 kwa kuvunja viti vya uwanja wa taifa ambayo inatakiwa kulipwa kabla ya mechi ya kesho na ashanti la sivyo hawatoruhusiwa kuingiza taifa uwanjani,Daaah Malinzi...
2 Reactions
164 Replies
15K Views
Juve wamekuja kujiuliza hapa kwao, baada ya kulambwa goli 2-1 hukoo El Santiago Bernabeu. Kwa harakaharaka tuanze na kikosi cha Juve. Golikipa ni Gigi Buffon, ukuta umewakusanya Caceres...
0 Reactions
67 Replies
4K Views
Wekundu wa msimbazi Simba leo saa kumi kamili jioni wanashuka uwanja wa taifa kakabiliana na watoto wa jiji Ashanti united katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu...
1 Reactions
206 Replies
15K Views
wadau ivi ni baadhi ya viwanja vyenye majina ya kuvutia duniani Estadio do Maracana - Brazil Santiago Bernabeu - Real madrid Guiseppe Meazza(San Siro) - Inter and AC millan Estadio do Dragao -...
0 Reactions
76 Replies
12K Views
Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika...
1 Reactions
329 Replies
23K Views
Naam bwana!ni pale pembeni ya milima ya Alps kwenye jiji la Turin.Yaani yangeyange katafunwa hadi manyoya yamekuwa mekundu!si mnakumbuka ule wimbo wa "yange yange nipe kucha nyeupe!"sasa leo wale...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naam bwana!ni pale pembeni ya milima ya Alps kwenye jiji la Turin.Yaani yangeyange katafunwa hadi manyoya yamekuwa mekundu!si mnakumbuka ule wimbo wa "yange yange nipe kucha nyeupe!"sasa leo wale...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Napenda kuchukua fursa hii kutoa ya kwangu na kuweza kuelimishwa vizuri juu ya kibadeni kupeleka wachezaji kwa matola ingali yeye ndio kocha mkuu anataka kufundishiwa na mwingine? Na ili la...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom