Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
napata tabu kumtambua nani ni zaidi ya mwenzake hapo nikimwangalia cesc wa arsenal na huyu wa barca huku ozil wa madrid na arsenal cpati majibu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana jf tena wataalam wa soka naomba kujua kipi kiliwasibu yanga kipindi cha pili hadi simba ikarudisha magoli yote matatu.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
unatabiri vipi nani atashinda? Arsenal sahauni kabisa ndoto zenu,hawa majamaa ni noma,utabiri wangu mtapigwa hata tatu ziro
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Sir Alex Ferguson did not hold back in his autobiography when it came to Roy Keane, who was probably Fergie's top lieutenant during his tenure at Manchester United. He calls him, among other...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Kama hukuangalia mechi ya schalke 04 vs chelsea na ulipoamka ukaambiwa,walishinda 3-0 unaweza ukawachukulia pouwa schalke! Schalke walipiga mpira mwingi sana. Ukiona Mourinho anamtoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kuna siku nisiyoisahau ni mechi ya simba na yanga infact najua ni maisha ya kina tenga na wazazi wanategemea pesa zile kwa ajili ya maisha yao ya baadae nafikiri kwa hili wamejisahau zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Juzi nilisema Borussia itawafunga Arsenal https://www.jamiiforums.com/sports/541800-arsenal-vs-borussia-dotmund-pigo-lingine-kwa-arsenala.html Sasa subiri uone Moyes sio kocha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Hili goal la namna yake; https://www.youtube.com/watch?v=02U9VvDfNqc
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Sir Alex Ferguson book: David Beckham had to leave Man Utd Sir Alex Ferguson says David Beckham had to leave Manchester United because the former England captain thought he was "bigger than the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi mi sioni tatizo kutoa draw ki mchezo ni bora draw kuliko kufungwa (bora nusu shali kuliko shali kamili). Ila kama shabiki wa Yanga na niliyeshuhudia mechi nzima kwa kweli wachezaji wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kuiangalia mechi ya yanga jana ambayo imeishia sare ya3-3, nimefarijika sana kuona timu ya tanzania inaweza onyesha kiwango cha juu vile,. Japo kuna makosa madogo yaliyojitokeza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hamjambo wanajamvi. Matokeo ya jana Kiboko; Ni kama Binti kukimbia na shela Ukumbuni; Kurudi kwa wazazi wake. Hii inaweza kuwa ni uzembe wa Mwanaume aliyetaka kuoa Au ni ushujaa wa BInti kuweza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema atafanya kila aliwezalo kuhakikisha mgombea urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, anashinda nafasi hiyo. Uchaguzi Mkuu wa TFF...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimezagaa sana huku mitaani kuwa akina mama wengi sana walikabwa na kuibiwa nje ya uwanja wa taifa hasa wakati wa kuondoka uwanjani baada ya mechi ya Simba na Yanga kuisha.Inasemekana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kibadeni afichua hujuma Simba, Brandts ashangaa _________________________________________________ KOCHA wa Simba Abdallah Kibadeni amelaumu kuwa kuna hujuma imefanyika kwa wachezaji wake...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kikosi kile cha wana msimbazi ukilinganisha na mziki wa CD 10000 wa watoto wa mtaa wa twiga aka Jangwani ni sawa tu ya kupambanisha John cena na Francis cheka lazima akae Yani mechi ya tar 20...
2 Reactions
121 Replies
9K Views
Nimefurahishwa sana na ushindi wa Ghana dhidi ya Waarabu!Afrika kuwakilishwa kombe la Dunia na Waarabu haijatulia!
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom