KIKOSI CHA KILI STARS ANAPENDEKEZA KIWE HIVI.
kocha mkuu: Abdalah kibadeni
msaidizi : Juma mwambusi na charles mkwasa
I.Makipa ni
Hamis Seif (JKT Ruvu), Abdul Juma (Ruvu Shooting) na Hussen...
In kenya, we have a very diverse list for genres of music.Ranging from Rap to Hiphop even extending to RnB. In Tz I have only heard of one gwenre--Bongo. What is a contributing factor to this?
Jamani Simba wamekuja na staili mpya
yaani ukivurunda tu mechi moja unapelekwa timu B
SIELEWI SANA MAANA YA FALSAFA HII, ilianzia mwaka jana wakati wa Juma Nyosso na naona Kibadeni...
Ukiwa ndio uwanja mkubwa zaidi wa soccer barani Ulaya, wenye uwezo wa kuchukua watu 99,354, leo hii kwenye majira ya saa 19:00 (EAT) uwanja wa Camp Nou utageuka uwanja wa mapambano kati ya...
NIONAVYO MIMI KUFUATIA SIMBA VS YANGA 3-3
Mechi ilikuwa nzuri kiasi kwa sababu,raha ya soka ni magoli na magoli tumeyaoga! Kiiza 2 na Ngassa 1 kwa upande wa YANGA,huku Kaze,Mombeki na Owimo...
tarehe 27/10/2013 itakuwa ndio siku ya uchaguzi mkuu wa TFF, Tunawahasa tena wajumbe wa TFF kuwa chaguo la Watanzania katika nafasi ya uraisi ni ndugu Jamal Malinzi!! wasije wakatumika hovyo na...
Ukiwa kocha lazima uchanganyikiwe! Umpange Flamini, Wilshere au Gnabry? Umuache Carzola au Ramsey ama umpumzishe Mediapunta?
Hapo bado The Ox na Walcott hawajarudi! Halafu kuna mzee mzima...
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ya watani wa jadi Simba na Yanga iliyochezwa jana (Oktoba 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya mabao 3-3
imeingiza...
tujadili kidogo soka la majuu leo hispania ni el clasico kule ni messi na neymar na huku ni ronaldo na bale japo bado hajarudi kwenye kiwango chake cha spurs, tutarajie matokeo gani hapa, nani...
There was and still is only one Pelé and we should not forget it
Brazil's greatest footballer celebrated his 73rd birthday this week, but in a world where mini-Pelés are minted every year there...
Wapendwa wana jamii forums,
Siku ya Jumapili tarehe 27/10/2013 ni siku ya uchaguzi mkuu wa TFF na mimi ni mgombea wa kiti cha urais wa TFF.
Kwa muda wa dakika tisini kuanzia sasa hivi nitakuwa...
Wakati mwingine tuwe wakweli bwana!we unaona tairi imepasuka unajidanganya gari itaendelea na safari!ni hivi,mimi kama shabiki mkubwa wa Juve tangu 1992,I and I this old see upfully that huu ni...
ni katika mechi ya tatu kwa kila timu msimu huu. Madrid anakwenda pambana na mbabe wake hapa nawazungumzia vijukuu na vitukuu vya Bibi Kizee wa Torino Bibi Lavecchia Signora.
Mara kadhaa Madrid...
Leo mbona kimya sana sioni bandiko la live updates za mechi ya Yanga na Rhino-Taifa na Coaster na Simba-Mkwakwani au bado mna uchovu wa jumapili....wapi MENDIETA,MAKOYE,WABHEJASANA na wengine au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.