TUMEWAONA na kuwasikia wanasiasa wengi wakishangiliwa kwa nguvu huku wakibebwa mabegani na wananchi wenye matarajio makubwa ya kukombolewa na wanasiasa hao mara baada ya kushinda uchaguzi.
Aidha...
Mimi ni mshabiki wa timu ya R.Madrid.Nilishtushwa sana na usajili wa G.Bale ulivopewa kipaumbele na gharama ya ajabu na hata akatua Madrid.Tangu aanze kuichezea timu hiyo nimekuwa nikifuatilia kwa...
Huyu ni staa wa mpira aitwaye Zlatan Ibrahimovic akiwa katika wakati mgumu baada ya mzigo wake kuvimba akiwa uwanjani
Taarifa zinaarifu kuwa, mzigo huo ulivimba baada ya...
panapo majaliwa kesho nitakuwepo ndani ya sokoine stadium kushuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya Mbeya city (watoto wa jiji) na Tanzania Prison (wajela jela).
Kiufupi leo kutwa nzima...
wakuu hua tuna bishana sana kuhusu ni ligi gani iko juu ndani ya sayari hii hususan katika miaka hii ya 2010-2013
na ujuu wake sijui niseme kwa thamani au washabiki ila wenye kujua watakuja...
MGOMBEA nafasi ya urais wa Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani amejinadi kusimamia na kutekeleza programu ya muda mfupi na mrefu ya shirikisho hilo na kuwa hawanii nafasi...
Ule uchaguzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na wansoka wa Tanzania,uchaguzi uliojaa vibweka,vituko,fitina,majungu,ubabaishaji hatimaye umekamilika na viongozi wapya watakaoongoza jahazi hili la...
Kwa wale mliopo nje ya mkoa wa mbeya njooni mapema , huu hautakuwa kama ujinga wa yanga leo , mtapata burudani kulingana na kiingilio chenu ! Nawambia kabisa muingie mbeya kabla ya ijumaa...
Baada ya pilika pilika za uchaguzi sasa tunarudi uwanjani.
Vinara wa ligi kuu Tanzania bara wekundu wa msimbazi Simba wanashuka uwanja wa taifa kupambana na Azam Fc leo jumatatu saa kumi jioni...
NIONAVYO MIMI WENGER NA MOURINHO WOTE WAONGO!
Ukiwasikiliza utasikia "Leo nitachezesha kikosi ambacho sio imara" Mourinho leo piga ua Juan Mata,Mikel Obi,David Luiz lazima waanze.Wenger leo piga...
Kim amtema Kaseja, amuita Ivo Mapunda:
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja kikosi cha wachezaji 30 wa timu ya pili (Future Young Taifa Stars) kitakachoingia kambini Novemba 9 mwaka...
Lengo letu ni kuona soka letu linasonga mbele likipimwa kwa mafanikio ya wachezaji, vilabu na timu ya Taifa. Tenga wa TFF alikuwa mtu wa mpira na Ndolanga wa FAT hakuwa mwanafamilia wa mchezo huo...
Habari wana JF hasa katika jukwaa hili.
Kweli kama unapenda kitu ni vigumu sana kujizuia. Katika mechi ya Simba na Yanga kiukweli nilipata kusikiliza kupitia radio station anayo tangaza Kitenge...
Nilikuwa nimesahau kuwapa POLE jamaa zangu wa Real Madrid kwa kichapo cha jana cha kufungwa goli mbili kwa moja.
POLENI SANA jamani tutakutana tena siku zijazo.
Pamoja na pongezi nyingi ulizopata wewe binafsi na viongozi wenzako, mie ombi langu ni kuwa muda wa kuanza mechi kwenye uwanja wa Taifa inabidi ubadilike. Tumezowea mechi kuchezwa kuanzia saa kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.