Mbwana Samatta 'Poppa' au ukipenda muite Sama Goal kama anavyojulikana nchini DRC kuna uwezekano mkubwa wa kwenda ulaya mwakani.Akihojiwa na Bbc kocha wa Tp Mazembe bwana Patrice Carteron alisema...
Kila nikiiangalia tz kwa jicho la kisport naiona imejichokea.Wale wanaoonekana wako juu,kwa mizani ya kimataifa si lolote c chochote,choka mbaya.
Hivi uchovu huu ni wa asili au ndo kutopenda...
Dear Arsenal
Kaeni mkijua kua
Unaweza kukaa miaka
nane bila kombe ila
Usithubutu kukaa miaka 8
bila mtoto kwenye familia
Unaweza kucheza pass nyingi
bila goli kwenye mechi moja
ila...
Heshima mbele wadau, nilikuwa napendekeza kuwe na thread maalum zinazohusu ligi mbalimbali za ulaya na nyumbani pia. Wengi wa wadau hapa jukwaani wana vilabu wanavyovishabikia. Kuna Arsenal...
Dar es Salaam. Tanzanian boxing sensation Francis Cheka faces being stripped of his World Boxing Federation (WBF) title after the federation resolved to stop sanctioning bouts organised by local...
Hii leo tumeshuhudha machester united ikipoteza mech yao ya tatu(3)mfulizo kwenye EPL kutoka kwa LIVER,MAN CITY na hii leo wamelala kwa bao mbil moja dhd ya westbrom swal je MAN U N WABOVU AU...
mkongwe wa soka na kaptaini wa zamani wa taifa stars kwa zaidi za miaka 10 kwenye miaka ya1980. kuna kipindi alikuwa anaumwa,na TFF na wapendamichezo na taifa kwa ujumla tulimtelekeza. je kwa sasa...
VPL-Leo JUMAPILI September 29, 2013:
Ashanti Utd 22 Mtibwa S
JKT Ruvu 02 Simba SC
Tanzania Prisons 11 Azam FC
=
Ligi kuu inaendelea leo ambapo JKT Ruvu watakuwa katika...
KINDUMBWENDUMBWE cha ligi kuu Tanzania kinaendelea tena leo katika viwanja tofauti tofauti, fuatilia uzi huu kwa kupata live coverage na updates za mechi zote in real time
Macho ya Watanzania...
Habarini wakuu, leo kulikua na mechi ya Yanga na Ruvu S.Matokeo ni kuwa, Yanga 1 Ruvu 0.Goli la Yanga ktk mechi hiyo limefungwa na Hamis Kiiza.Kilichonishangaza ni kuwa, ktk kipindi cha michezo...
Fans wa Faru mweusi toka Mkoa wa Tabora tuungane pamoja hapa kupeana taarifa na mawazo mbalimbali kwa ajili ya kuisogeza mbali klabu yetu. Hapa ni kwata mwanzo mwisho...
Wachezaji kadhaa nyota hapa nchini wameendelea na zengwe la mashaka ya timu ipi waichezee katika kipindi cha usajili, wamesakamwa na timu kadhaa na kuishia kutamani pesa kutoka kila timu na...
Golf - Woods named PGA Tour player of the Year
Tiger Woods was named on Friday as the PGA Tour's Player of the Year for a record 11th time, with fellow-American Jordan Spieth voted rookie of the...
Kazimoto ndani ya Jezi ya Al Markhiya
Licha ya kuwa wanasoka wa Tanzania wamekuwa wazito kuvuka mipaka kucheza soka la kulipwa, hali ni tofauti unapoongelea Uarabuni. Ni kweli kuwa milango ya...
Ni shabiki mkubwa wa Arsenal. Na kama ilivyo ada, mashabiki wa Gunners wanaichukia kupindukia Man U. Lakini huyu pia ni mshabiki mkubwa wa Ronaldo de Assis Moreira almaarufu kama Ronaldinho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.