wadau mnaonaje swala la mechi ya toto na pamba kusogwezwa mbele kupisha tamasha la muziki fiesta, je ni sahihi au tamasha ndo lingesogezwa, ma great thinker najua hawatakosa majibu aksanteni wote...
kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa timu ya Yanga inatarajia kukata dhidi ya mchezo wao na Azamu uliochezwa leo kwenye uwanja wa taifa na Azam Fc kuibuka na ushindi wa magoli matatu kwa...
Sol Campbell says racism may force him out of England to be a manager
Former Arsenal defender attacks lack of opportunities
'Attitudes to black footballers here are archaic'
Read Sol...
Ni mechi sita(6) zimekamirika kwa LIVERPOOL kucheza bila mshambuliaj wake mahil LUIS SUAREZ.Mchezaj ambae ASENAL walitaka kutoa machoz ya dam ili kumtwaa.Sasa adhabu yake imekwisha kwa kukamilisha...
Clabu ya MAN U itakwaana na majogoo wa ulaya LIVERPOOL KTK hatua ya nne ya mashindano ya culling juma 5 hii.
Moyes alie kwenye wakat mgum mara baada ya kuchapwa kichapo cha mbwa mwiz cha magol...
natafakari sana hii
amenusa goli 5 zinahamia simba?
amewezeshwa walau jezi?
je Rage akiondoka atarudi MSIMBAZI?
Ni pandikizi la Simba Jangwani?
Baadhi ya fyuzi kichwani zimekata...
RATIBA:Septemba 18 (saa 10:00)
Tanzania Prisons v Yanga
Simba v Mgambo JKT
Kagera Sugar v JKT Oljoro
Azam FC v Ashanti United
Coastal Union v Rhino Rangers
Mtibwa Sugar v Mbeya City
Ruvu...
Ni msimu wa summer slam kwa wapenzi wa mieleka ya majuu.
Mastaa wanaendeleza game. Ninauliza wadau kutaka kujua kwa sasa ndani ya wwe summer slam nani baby face?
POPOTE utakapotulia na kutazama pambano lolote litakaloonyeshwa moja kwa moja au kwa marudio, kupitia kituo cha Televisheni cha Azam (Azam TV), usiwe na shaka, utaliona pambano maridadi.
Weka...
Wakuu JF Wana Young Africans Amani iwe Nanyi.
Nipende kuonesha masikitiko Makubwa sana kwa kilichowapata Wachezaji wetu jana Mbeya Baada ya Gari lao kushambuliwa na Mawe na anaodhaniwa kuwa ni...
Ni kivumbi na jasho,nyasi kuwaka moto.
Asiye na mwana.............
Yanga yaahidi kutoa kipigo kizito dhidi ya Azam leo taifa.
Nategemea Mkuu ndetichia utanipa kikosi cha Azam mapema huku...
Shirikisho la soka Tanzania, TFF, limesema ripoti ya kamishina wa mchezo kati ya Mbeya City na Yanga, haikuonyesha kutokea vurugu zozote kwenye mchezo huo, licha ya Yanga kudai kufanyiwa fujo
Hatimaye timu ya mbeya city leo imemaliza tofauti zao na Yanga Taifa.
Mara baada ya mechi yao dhidi ya Simba, wachezaji wa Mbeya City waliwafuata mashabiki wa Yanga na kupiga magoti na kuweka...
Leo leo wale wakare wapya kwenye mchuano huu unaoendelea,na walomtoa jASHO BINGWA mtetezi Dar Yanga leo wanatupa tena upinde wao kuona je wanaweza kumchezea sharubu Simba...
utwalubunju...
ni ukweli usio pingika kuwa kikosi cha timu ya MBEYA CITY fc kutoka mkoa wa mbeya kime leta mvuto mpyta na changamoto ya aina yake kwa wanaojiita wakongwe wa soka tanzania wakiwemo wanodhani ndio...
Hawa jamaa wanaupendeleo sana leo uwanja wa taifa walikuwa wanashoot mechi ya yanga na azam huku wakiionyesha kwenye big screen. Cha ajabu magoli yote yanga waliokuwa wakifunga jamaa hawakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.