Nilipata bahati ya kuona mkataba wa mchezaji mmoja wa moja ya hizi timu zetu pendwa mwaka huu wa usajili. Mchezaji huyo alitakiwa kuusaini huo mkataba uliokuwa ukionyesha kwamba atalipwa kiasi cha...
1. Thierry Hendry: Amepata primer league 2 times akiwa na Arsenal, FA cup mara 2 pia akiwa na arsenal. Champions league mara 1, la liga mara 1 copa delaray, klabu bingwa ya dunia uefa super cup...
Mbembwe zote za mzee wa helmet leo ohh naweza cheza bila R.V.P zimemtokea puani. Baada ya kua anatoa maboko mengi huku akilalamika xanaaaa.
Runny leo umekua lofa la jalalani!!!!!!!
Arsenal and England striker cum Winger TheoWalcott has been name the fastest player in the world according to FIFA. FIFA released a list of 10 players who are the fastest in the world and toppling...
Habari zenu wana JF?
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia maendeleo ya timu yetu ya ARS iliyokwenda huko Nigeria kupitia media mbalimbali online. Cha kusikitisha ni kwamba watu wa media hawajawapatia...
Mida nilikuwa na katibu wa mbeya city hapa manzese ananiambia ya kwamba baada ya timu yao kupanda ligi kuu walienda china na kutengeneza jezi zaidi ya elfu ishirini ambapo mpaka sasa wameshauza...
Nilikua wakwanza kuisifia timu hii ngeni ya mbeya city kua itafika mbali..
Hii ilitokana na kuona timu imejipanga kwa kuuza jezi zao wenyewe,. Hii ilifanya nione itafika mbali sana,. Mwna hili...
Karibun wadau wa soka hasa wale wenye mapenzi pia na giants hawa wa ujerumani Borussia Dortmund,karibunu tujadili na kupeana habari zinazoihusu klabu hii.
Ligi yetu ya soka ndio imeanza na mwisho wa wiki iliyopita Azam FC ilikuwa mkoani Kagera na kutoka sare ya bao moja kwa moja vivo hivo Yanga walikuwa mkoani Mbeya na kutoka sare ya moja kwa moja...
Former Ghanaian midfielder Otto Addo has been confirmed as Head coach of German Bundesliga side, Hamburger SV in the interim.The 38-year old, coach of the U-19 side of the German side will assume...
The prospect of a winter World Cup in 2022 took a step forward after European football chiefs agreed a summer event could not be played in Qatar.
Summer temperatures in the Gulf state can reach...
hata kama ajax wamefungwa 4 lakini vijana hao wa ajax sio siri wameonyesha kiwango cha kuvutia nimependa sana jinsi walivyokuwa wanacheza soka kuwazidi barcelona!
alikuwa kijana mtanashati,mweupe na mrefu wa wastani.
Safari yake ya soka ilianza mwanzoni mwa miaka ya tisini pale chuo cha ufundi arusha technical college.
Alisajiliwa na timu maarufu ya AICC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.