1. Amewahi kuwa mchezaji bora Ulaya mara mbili mfululizo, amechezea timu kubwa Hispania, Italia na Ufaransa, mpaka kesho mashabiki wa ligi ya Uingereza wanatamani angecheza kwenye ligi hiyo...
Wakuu leo nilikua mitaa ya k,koo.
Nikaona siyo vibaya kwenda klabu pale jangwani kujua mikakati iliyoko sasa pale Yanga.
Nikiwa kama mita 20 kutoka lilipo jengo la Yanga niliwakuta mashabiki...
Kuna taarifa nimezipata kwamba Yanga wamekata rufaa ili mechi yao irudiwe maana jana walifanyiwa fujo kabla na baada ya mechi.
Akiongea na waandishi wa habari leo njini Mbeya katibu na mjumbe wa...
Hizi ndizo mechi zitakazochezwa leo clabu bingwa ulaya
Group A- Man. United Vs
Leverkusen 20:45, at Oldtrafford (ENG)
Group A- Real Sociedad Vs
Shakhtar Donetsk 20:45, at
Anoeta (ESP)...
Baada ya kutoa droo na mbeya city, wabingwa wa kihistoria wa tanzania kesho watashuka dimbani kukwaana wajelajela ,.. Yanga iliyowakosa wachezaji wake mashuhuriniyonzima na msuba kwenye mechi ya...
Kwa mara ya kwanza kabisa ,katika historia ya mpira miguu nimeshuhudia mabadiliko ambayo yanga hawakuyatarajia , umati wa washabiki uliojitokeza kuishabikia timu yao ya mbeya tofauti na kipindi...
Ni tabia ambayo tunaiona kwnye ndondo lakini taratibu inaanza kupenya kwenye ligi kuu. Ni tabia ya mashabiki wenyeji kufanyia vurugu wapinzani wao ambao ni wageni. Tumeona hali hii ilianza tanga...
FAMILIA ya kiungo wa zamani wa Kikwajuni na timu ya taifa ya Zanzibar, Eric Nditi inaendelea kutesa katika soka la Ulaya baada ya watoto watatu wengine wa staa huyo kuibukia katika timu ya...
Baada ya Fergie kustaafu refa mmoja mkongwe amefunguka na kuongelea jinsi gani walivyokuwa karibu sana na meneja mkongwe katika ligi kuu ya England. Refa Mark Halsey ametoa ndogo ndogo jinsi...
nipo katika ukumbi wa MGM Grand nikifuatila kwa karibu kabisa mapambano ya utangulizi.
Lakini kinachosubiriwa hapa ni pambano kati ya Maywether na Alvarez...
Twende sasa.........
Habar wana jf,
Nimekuwa najiuliza maswali mengi pale ninaposikia viongozi wanamuongelea ADAM NDITI na kama kumbembeleza kuja kuchezea t.stars eti kisa anacheza ulaya kwan yeye akija anacheza...
Wale wachezaji wetu samata na ulimwengu ambao walidai ni wagonjwa hivyo hawawezi kuichezea timu yetu yetu ya taifa dhidi ya The Gambia, leo wamedhihilisha hawakuwa wagonjwa ila walikuwa wanajianda...
SIMBA sc jana aliweza kushinda mechi yake dhidi ya mtibwa 2-0 huku goli la kwanza likifungwa na HENRY JOSEPH.Mashabiki ni moja kati ya watu ambao hutakiwi kuwaamini.
Jana baada ya goli hilo...
huyu jamaa nilikua napenda sana uchezaji wake, mara ya mwisho nilimuona akiwa mnene sana, alirudishwa yanga na mwalimu jack chamangwana akiwa anatoka moro united, jamaa alikua fundi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.