Mshambuliaji wa AC Milan, Kevin-Prince Boateng ameomba rasmi kurejea katika kikosi cha timu ya taifa ya Ghana.
Chama cha Soka cha Ghana kilithibitisha kupokea ombi la maandishi la mchezaji huyo...
Napenda kuwapongeza wachezaji,wanachama na mashabiki wa Yanga kwa ushindi wa kishindo wa goli 5 kwa 1.
1: Ukaguzi wa tiketi na rushwa.
Kuna wakati niliwahi kwenda kuangalia mechi kati ya Yanga na...
Wiki chache zilizo pita tambo toka TFF na waandishi uchwara wa michezo walipamba sana kuondoka kwa huyu dogo kwenda Nchni Uholanzi.Habari toka FC Twente zinasema huyu Shomari hana nafasi kwao na...
Mbeya city sasa wametengeneza jezi zao na wanazisimamia kuziuza wenyewe hivo kuiongezea kipato timu,. Jezi ni nzuri na ni bora na origino sio famba inauzwa elfu12000; hata mimi nimewaunga mkono...
Champions League: 2013/14 revenue distribution
UEFA has unveiled its revenue distribution system for the 2013/14 UEFA Champions League and UEFA Super Cup – from a total estimated at around...
Ratiba iliyotolewa na TFF majuzi ya Ligi Kuu Tz Bara, ligi inatarajiwa kutimka hapo Agosti 24 mwaka huu mpaka Novemba 3 itakapo simama kwa takribani miezi mitatu mpaka Januari 25, 2014 mzunguko wa...
Hii ni aibu!Kwa muda mrefu sasa, ukiangalia taarifa za michezo ktk king'amuzi cha DSTv, kuhusu ligi kuu Tz, msimamo wao wa ligi unaonyesha kuwa Simba inaongoza ligi kwa pointi 49, na AFC ni ya...
Kocha mbishi na bahili mfaransa Arsene wenger amesajili mchezaji wa pili kutimiza lile lengo lake la kuimarisha kikosi... chezaji huyo si mwingine bali ni matheu flamini aliyemsajili for free...
Record zinaonyesha kala anapopewa majukumu huwa anaharibu tena anaharibu vibaya.
1. 1. Alipewa kazi mamlaka ya ustawishaji makao makuu CDA aliharibu mpaka akafukuzwa.
2. 2 Baada ya...
Watu wengi hasa Graduates wanavyeti vizuri na elimu zao lakini hawapati kazi!! Moja ya sababu ni kutojua kama njia anayopitia Shomari Kapombe hata wao pengine ingeweza kuwasaidia.
Kama umesoma...
Najua kuna watu wataumia lakini huu ndio ukweli wenyewe. Huyu jamaa alikuwa anafanya mazoezi yanga kama ilivyokuwa kwa Shaaban kondo Simba. Baada ya kuona yanga wanamyeyusha kimyakimya...
Ile michezo ya kumchokoza Ng'ombe, ambayo hufanyika sana kule Hispania, na hata hapo Zanzibar, ingawa ni kwa kiwango kidogo, huenda inamfundisha binadamu wa kawaida nje ya ulingo, namna ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu Wana habari.
Asalaam Aleikhum.
KATIKA siku za karibuni, kumekuwapo na mjadala kuhusiana na hatua ya klabu ya Yanga kupinga udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.