Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Leo,Rais wa TFFNdugu Leodgar 'Chilla' Tenga ametangaza Kamati mbalimbali zitakazotawala ndani ya TFF. Katika Kamati zote,Wanasheria wameteka kuanzia Uenyekiti hadi ujumbe wa kamati husika...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Yale mashindano ya Ligi ya jimbo cup maarufu kama Kagasheki Cup yanayodhaminiwa na Mbunge wa Bukoba mjini Balozi Khamis Kagasheki yameanza kutimua vumbi leo katika uwanja wa kaitaba mjini Bukoba...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Fifa president Sepp Blatter is determined to switch the 2022 World Cup to the winter because of the intense Qatar summer heat. The head of world football's governing body plans discussions over...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (SPUTANZA) juzi kiwewatangaza wachezaji bora wa soka katika msimu ulioisha huku Amri Kiemba (Simba) akiwa mchezaji bora wa ligi msimu 2012-13,wengine Salum...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Hapo mchezaji wa Stars alikuwa anaonyesha alama ya v yawezekana ushindi au tutalala 2 Mungu alisaidia tulilala kamoja.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
There is no doubt tour de france is greatest and most prestigious cycling event ,with riders cycling over 5000 km in two weeks gruelling battle. Britain is set to win race again, Wiggan having...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
KLABU 4 huko Nchini Nigeria zilikutana kwenye Mechi za Mchujo ili kupanda Daraja na kufungana Bao 79-0 katika Mechi moja na nyingine kwisha 67-0 Matokeo ambayo yamesababisha Klabu zote...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
jamani ndg zangu poleni na majukumu ya kutwa. Jamani kuna filamu moja ya ki nigeria inaitwa for better and for worse, imechezwa na emeka ike pamojana gennaviv naj, pia yumo yule mzee aliecheza na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kama simba na yanga zingekaid agizo la serikali basi wanasoka tungekua na msiba mzito kwani njama za kuzishambuli zilikuepo na zilipangwa kutokana mgogoro unaoendelea billateral conflict ni vyema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADA YA TAIFA STARS KUPIGWA 1-0 NYUMMBANI NA UGANDA, MBUNGE AGEUKA MBOGO......ASEMA YEYE NI TWIGA STARS NA SIO TAIFA STARS...!! MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mara, Ester Bulaya, Jumamosi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tyson Gay and Asafa Powell: Olympic sprinters fail drug tests US sprinter Tyson Gay and Jamaica's former 100m world record holder Asafa Powell have failed drug tests. Gay, 30, the...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Sureboy and Dumayo(midfields) were not ready 2play 4de seniour team ndo maana wanaicost stars. TZ KICHWA CHA MWENDAWA...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wanajf msada wa betting station yoyote mwanza. kwa anaye fahamu
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Ninasikitishwa na matokeo tunayoyapata.Tunafahamu kwamba mpira una matokeo ya aina tatu yaan kushinda,kufungwa au sare lakini km tunataka kusonga mbele kwanza lazima tuweke mazingira ya namna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SUNDAY, JULY 14, 2013Xavi afunga ndoa na Nuria Kiungo wa Barcelona Xavi akifurahi na mke wake Nuria baada ya kufunga ndoa leo Baadhi ya wachezaji wa Barca aliokuwepo kwenye harusi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tanzania imekuwa ni nchi ya utani na mambo makubwa. Inasemekana sehemu kubwa ya wachezaji WALIFUNGA RAMADHANI!!!! Ni utani. Funga na mpira WAPI na WAPI?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kuna umuhimu wa kuendelea kushiriki mashindano ya kimataifa au tukae nje miaka 3 au minne tujipange na tubadili na mifumo yetu ya uendeshaji wa soka hapa nchini DANGANYIKA
0 Reactions
0 Replies
842 Views
= = = = Patashika leo: Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Uganda (The Cranes)
0 Reactions
192 Replies
18K Views
Yule jamaa aliye tembea kwa miguu toka Mbeya mpaka Dar amesababisha morale ya wachezaji na mashabiki kuhudhuria kiduchu Taifa na uzalendo kupotea kabisa na kujikuta Stars ikilala moja bila dhidi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom