Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wakuu Leo Taifa Stars wanakipiga na Uganda Cranes ya Uganda kwenye uwanja wa Taifa Tuendelee kujuzana Live Updates kwa wale ambao tuko ndani ya uwanja wa Taifa.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Luhende,Kaseja,...... kukosekana kwa Samata na Ulimwengu japo kanuni haziruhusu wacheze,lack of plan B, na kumwacha Bocco acheze pekee mbele! Je ndo kimetupoteza kabisa!? Hivi Kale ka-TAHITI...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Jaman ni kweli Mbwana Samata anataka kwenda Man UTD au ni maneno 2?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Atimae Yanga wamekamilisha usajiri wao kwa 99% kwa ajiri ya klabu bingwa africa na ligi kuu bara. Katika usajiri mpya klabu ya Yanga imewaacha baadhi ya wachezaji na kuwapeleka wengine kwa...
3 Reactions
24 Replies
20K Views
Mshambuliaji mpya wa Man United Wilfred Zaha,majuzi alikuwa kituko wakati team hiyo inaondoka Uwanza wa ndege kwa ziara yake ya Mashariki ya mbali kujiandaa na msimu mpya. Wakati wachezaji wenzake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jF, Tujulishane kinachojiri nje na ndani ya dimc la taifa juu ya mtanange unaotegemewa kupigwa hapo kesho, kati ya Stars na The cranes ya Mserbia, MICHO. Tupia updates hapa ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani Hivi Leo ni Tarehe Ngapi? Hii Habari naiona kama ya April Mosi
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kukamilisha usajili wa stiker wa Real Madrid, Higuan Gonzalez , kocha wa Arsenal , Arsene Wenger amesema anataka kusajili striker wengine wawili, ambao ni Wayne...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibu wachezaji wote wa simba sports klub wapya na wazamani washatoka kwenye makala nyingi za magazeti kuwwelezea'''kwa bahati mbaya yupo bwana mdoga anaitwa Miraji Adamu licha ya kazi kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba ufafanuzi kidogo pale mchezaji anapouzwa na timu moja kwenda nyingine mfano kauzwa paund milion 20 je hizo pesa inachukuwa timu husika yeye hapati hata shilingi ama ni vipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzaniaans International Shomari Kapombe op proef bij FC Twente Je bent Hier: FC Twente » FC Twente Nieuws » Tanzaniaans International Shomari Kapombe op proef bij FC Twente...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa mechi hii ya nusu fainali inachezwa lin
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Halima kwamba uko Yanga..........................
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa wanasoprts wenzangu mechi ya hii itachezwa lin
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Nitajie Kikosi cha Wachezaji wa Yanga waliotoka SIMBA kwa msimu wa 2012/3
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Nilikuwa siamini macho yangu kumuona Mwigulu Nchemba akisakata kabumbu akiwa amevaa jezi ya Yanga No. 10. Amecheza vizuri sana, laiti angekuwa anafanya siasa vizuri kama anavyocheza kandanda, wala...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Nimefurahi kuwaona mahasimu wakifurahi pamoja naona tamasha kama hili ni zuri kudumisha mshikamano JK,Mwigulu,Zito,Nasari,Kingwangwala,Mdee ,Idd Azzani,na wengine wengi hii imekaavizuri wabunge wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
JK akilakiwa na refa Othman Kazi JK akiweka saini katika mpira utaochezewa JK akiweka saini JK akitambulishwa waamuz Huyu Referee si alifungiwa na TFF kuchezesha...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Neymar Jr. Kijana yupo sharp sana, mabeki wanayo kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom