Mwenyekiti wa klabu ya Simba alipanga kufanyika kwa mkutano mkuu wa klabu yake mwezi huu wa July, nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari ili nisikie tarehe iliyopangwa lakini mpaka sasa sijasikia...
Waungwana nahitaji vifaa vya mazoezi ya Gym.Kama kuna mwenye kufahamu namna ya kuvipata tafadhali anijuze.Nahitaji zaidi used nimeambiwa vipya vingi ni famba.
Kama nikipata picha na bei itakuwa...
Jumapili iliyopita nilibahatika kuwa ndani ya msafara mahususi uliozunguka na mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete.
Ingawa msafara huo ulihusu michezo na mpira, uliwakutanisha pia baadhi ya Watanzania...
Ktk mechi ya wabunge tamasha la Matumaini Yanga wamepata penati 4 Simba 3. Hongereni Yanga japo mi mshabiki wa Simba
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nimefurahishwa sana na kufarijika kupita maelezo kusikia kwamba uongozi wa Simba SC umeamua kuachana kabisa na mchezaji wao golikipa Juma Kaseja Juma.....na nimatumaini yangu kwamba uongozi...
Wakuu heshima kwenu.
Kama kawa tayari nimetua ndani ya Jiji la Mwanza (Rock City) ambapo Mabingwa wa Tanzania ambao juzi tu wamekbidhiwa zawadi za Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani...
Simba na Yanga ni timu kubwa hapa nchini ambazo zina washabiki weng pia.Wachezaji weng watanzania wamekua na ndoto ya kuchezea katika timu hizi kubwa.Wachezaj ambao wameshapata nafas ya kucheza...
Alifunga Hat-trick mara 92.
- Alifunga magoli manne mara 31.
- Alifunga magoli 5 mara 6.
- Na mara moja akafunga magoli 8
ndani ya
mchezo mmoja.
- Amefunga jumla ya magoli 1,283
ya ubora
wa hali...
Nyota wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA), Mtanzania Hasheem Thabeet
Jina la mcheza kikapu nyota wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA), Mtanzania Hasheem Thabeet lilijitokeza...
Katika kile kinachoaminiwa ya kwamba Brasil ni Taifa lenye washabiki wakubwa wa soka magwiji hawa wamekutana na kutokubalika kwa raia wa Nchi hiyo baada ya Ronaldo De Lima kukubaliana na serikali...
When the Premier League started in 1992, it
included just one footballer known to be
Muslim, Tottenham's Spanish midfielder
Nayim. England's top division now features
40 Muslim players and...
Arsenal's heavyweight stars returned to training this morning with Arsene Wenger's side striving to be in perfect shape ahead of the new season.
With the Gunners heading into the campaign looking...
"109Nafasi ya Tanzania mwezi uliopita. 121Nafasi ya Tanzania mwezi huu."
Dar es Salaam.Kipigo ilichokipata Taifa Stars kutoka kwa Morocco na Ivory Coast imeishusha Tanzania kwa nafasi 12 kwenye...
Baada ya kutwaa Kombe la Mabara,Brazil imepaa toka nafasi ya 22 hadi ya 9 katika msimamo wa viwango vya soka ulimwenguni.Hii ni kwa mujibu wa viwango vipya vya FIFA vilivyotolewa leo. Kumi bora ya...
Mlinzi wa kati timu ya Yanga Kelvin Yondani ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mpira wa miguu nchini kwa msimu wa 2012/13 na kiasi cha pesa mil 5 katika sherehe iliyofanyika jana usiku katika...
Ikiwa imebakia mwaka mmoja hivi kabla ya Fainali za Kombe za Dunia kuanza, macho ya wapenzi wengi wa soka duniani yataelekezwa huko Brazili kwa ajili ya FIFA Confederations Cup 2013 inayoanza...
FIFA/Coca-Cola World Ranking Procedure
The basic logic of these calculations is simple: any team that does well in world football wins points which enable it to climb the world ranking.
A teams...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.