hili suali najiuliza kila siku ila sijawai kupata jibu lake,labda tujadili hili ingawaje najua kwa makomandoo wa simba na yanga nitawaudhi ila ukweli ndio huo.
Kamati ya Operesheni Ushindi ya timu ya taifa ya soka ilitoa "hamasa" ya sh. milioni 30 kwa Taifa Stars katikati ya wiki, kwa ajili ya mechi ya Juni 8 ya michuano ya awali ya Kombe la Dunia dhidi...
Sunday, May 26, 2013
Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.
Wachezaji wa Taifa Stars, benchi la ufundi na maofisa wakuu wa TBL...
Juma Kaseja ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inakaribia kumalizika.
Dar es Salaam. Hekaheka za usajili zimeanza kushika kasi na tayari baadhi ya wachezaji waliomaliza mikataba yao...
The world record holder for maximum centuries in Cricket Sachin Tendulkar retires from T20 format cricket of Indian Premier League. The surprise announcement came immediately after his team Mumbai...
HOMA INAZIDI KUPANDA KUELEKEA FINALI YA UEFA.
25/05/2013.
uwanja wa wembley ndio mbivu na mbichi zitajulikana na atatwaa ndoo kati ya wakali ya ujerumani.
DONTMUND WANAJIVUNIA FUNDI WAO REUS NA...
Pana dhana kule Ulaya kuwa klabu iifungayo FC Barcelona (timu bora Ulaya) kwenye robo au nusu fainali ya UCL ndio huwa bingwa wa kombe hilo. Sasa leo tuona kama FC Bayern itaendeleza usemi huu...
TFF imejiweka kando ktk swala la NGASA na kuwambia simba wawe wakweli juu ya usajiri wa Mrisho Ngasa.Yasema kama kweli wana mkataba na NGASA kwa nini hawauweki hadhalani?yawapa ushauri wa bure...
"Nakupongeza Mourinho kwa kuwa msimu huu umeipiga Barcelona, lakini umechekesha kitendo cha kunyang'anywa ubingwa ukiwa nyuma kwa point 10. Umeweka rekodi kwa kugombana na Iker Casillas ambaye...
Wakuu wale ambao mnatumia dstv hebu tufahamisheni kin'gamuzi chao kinalipiwa bei gani na kwa muda gani na ligi gani kwa ulaya wanazi onyesha natoa shukrani kwa wote .
habari nilizozipata punde karibu na uongozi wa Simba zinasema mazungumzo baina simba na niyonzima yako katika hatua ya mwisho kumwaga wino wakati wowote.
Malkia wa nyuki amechukizwa na hatua ya...
Klabu ya Simba imedai kuwa mchezaji Mrisho Halfan Ngassa bado ni mchezaji wao halali kwakuwa wana mkataba naye hadi mwisho wa msimu ujao.
Hayo aliyasema Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba...
Vyombo vya habari vina nguvu zaidi ya kusambaza USHAWISHI kwa wasikilizaji/wasomaji wake na kuaminiwa. Wananchi wengi hapa nchini wanapenda mno soka na hasa soka la vilabu vyetu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.