Tatizo la simba sports club kufungwa na na kutoa droo kila mechi nini jamani? Enyi viongozi wa simba embu ongeeni wa wachezaji wenu, lazima kuna tatizo litakuwa linaendelea si bure kila match ni...
Ismael Aden Rage, Mbunge wa Tabora Mjini, Mtu mwenye maneno mengi, mkorofi, mtu asiye na subra, Mtanzania mwenye asili ya Somalia..
Anatakiwa kufanya jambo la busara kuinusuru, Simba Sports Club...
Mkama mtakumbuka RAGE aliwahi kukaririwa na TV fulani week kadhaa zilizopita akisema kwamba kocha wao cokvic aende tu kwao SERBIA na kwamba awape contact zake watamlipa pesa zake kwa njia ya bank...
Baba wa mafanikio ya soka yaani klabu ya AC Milan yenye maskani yake Barabara ya Turati hapo mjini Milan leo inajimwaga katika Dimba la nyumbani la Sansiro ama ukipenda liite Giussepe Meazza ama...
Wadau kumbukeni tarehe 26/06/2003 kwenye kombe la mabara alipofariki Mark Vivien Foe. Wanamichezo tukumbuke kuchunguza afya zetu mara kwa mara. Fungua /angalia hiyo picha ukumbuke vizuri
Huyu mzee anayeongoza FIFA anaonesha upenzi waziwazi kwa timu za Spain, sana sana Barcelona na Real Madrid, na hata kupanga kikosi cha Uefa chenye wachezaji wa hizo timu mbili isipokuwa kwa Falcao...
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Juma Kaseja amepata udhamini mnono binafsi toka kampuni ya Nike. Taarifa nilizozipata amekula zaidi ya pauni 50000 kwa mwaka huu.
Sent from my BlackBerry...
Nahodha wa timu ya taifa Juma Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza nchini kupata udhamini mnono toka kampuni ya Nike thou sijapata kiasi cha Pound ambazo anazitia kibindoni kwa kila mwaka baada ya...
Osama Yanga mnatupata?
Muwache wenu utata,
Eti simba kapakatwa?
LIBOLO limewapata.
Simba Taifa Kubwa,
Angola kama ubwabwa,
Bao 2 watazibwa,
LIBOLO halitabebwa.
Sikia mambo ya Mbwiga...
Ameokoa penalti muhimu (ilipigwa na Kiiza Martin) na kupelekea Gor Mahia kuibuka na ushindi dhidi ya Tusker FC hapa Nyayo Stadium - Nairobi.
Tusker FC ndio walikuwa wanashikilia kombe na sasa...
Mh.Aden Ismael Rage.
Wanachama walikuchaguwa kwa sababu ya written Plan zako, tukajuwa hakika utatufikisha sehemu ambayo kila mwanasimba anaitaji kufka. Uliahidi kuingia mikataba na...
Mario Balotelli on Milan and Messi:
Mario Balotelli: "I didn't participate today because of the laws of the Champions League but I do not know why Messi didn't participate."
State DJs brings you a concert one of the country's biggest urban music artistes.
Nonini who was recently in the U.S. on a tour that took him through various States will be performing at the...
Katika UCL jana tarehe 20/2/2013 A.C. Milan wakiwa nyumbani walitutundika (Barca) mbao 2-0, leo magazeti takriban yote ya nchi hii yamepata soko wakati juzi tarehe 19/2/2013 huko London Arsenal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.