Jana ligi kuu Tanzania bara iliendelea kwa baadhi ya viwanja, wakati mashabiki wa mpira wa miguu wanaoichukia ama itakia simba mabaya walitegemea ushindi kwa Azam mambo yamekuwa kinyume chake...
Jamani huku tunakoelea sasa kisoka siko, mchezaji anadai milioni 7 kwa mwezi, kocha anadai dola elfu 10, hivi mpira wa Tz unaelekea wapi? na hawa wazalendo watabaki kulipwa laki 8? huu urari wa...
Baada ya ukweli kujulikana kuhusu Lance Armstrong .....
nimekuwa najiuliza.....what about Usain Bolt?....
hatumii madawa?
na kama anatumia...ni hadi lini ukweli utakuja kujulikana?
Timu ya soka ya coastal union imefanikiwa kumpata mchezaji kutoka brazil. mchezaji huyo atareport mda wowote akiwa na mke wake. mchezaji kasema anafurahi kubadili mazingira ya kazi yake. ntawapeni...
Timu ya soka ya Prison ya Mbeya imepata ajali mbaya mkoani Tanga baada ya gari lao aina ya Coster kupinduka mara tatu. Hivyo mechi yao na Mgambo JKT imeahirishwa hadi hapo baadaye.
Source: ITV
NA ALBERT G. SENGO:MWANZA
Ikitumia Vyema uwanja wake wa nyumbani Pamba Fc ya Mwanza leo imeanza vyema mchezo wake wa kwanza kundi C ya Ligi ya soka Daraja la kwanza ya Tanzania bara kwa...
KLABU ya soka ya Simba imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Katibu Mwenezi wake wa zamani, Robert Charles Sechawawa Mwaimu, kilichotokea juzi Jumanne nyumbani kwake Oysterbay jijini...
Leo lazima kieleweke uwanja wa taifa Yanga lazima aue mtu na kumsogelea mnyama aliyetangulia kwa baiskeli yenye mataili ya miti,mechi ya Azam na Simba jumasosi tunajua watadraw na wakikosea kidogo...
Hayo ndiyo matokeo ya mechi jana... English Premier League EPL chali, Waingereza wanajisema sana na sisi tumezoea kwashangilia mno hata DSTV wanashadadia sana lakini wanapotoka nje ya Uingereza...
Nimeona mara nyingi katika picha mbalimbali za wachezaji wetu wa timu ya Taifa wakiwa nje ya uwanja, mavazi yao kwakweli hayawapi hadhi ya kimataifa kama ambavyo wachezaji wa timu za nchi nyingine...
Miezi kadhaa nyuma ilikuwa imefungwa hii tovuti.
Sikujua ni kwanini lakini kila nilipoitembelea nilijibiwa 'ACCOUNT SUSPENDED', baada ya malalamiko ya wadau nadhani wamesikia sasa.
www.tff.or.tz/
Unconfirmed report
BREAKING NEWS:
TIMU YA SOKA YA MAAFANDE YA TANZANIA PRISON IMEPATA AJALI USIKU HUU WA LEO KATIKA KIJIJI CHA AHALE ILIPOKUWA IKIELEKEA TANGA KWA AJILI YA MECHI NA Mgambo JKT...
Manji anatarajia kuweka heshima Jangwani kwa kuwajengea uwanja wenye thamani ya sh. 78 Bilioni. Utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000. Atajenga uwanja huo kama mchango wake kwa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.