Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Waambiwa wachague nembo ya kudumu kati ya. Njano,kijani na nyeusi. Wasema walikua hawajui kama rangi hizo ni utambulisho wa mwafrica na africa. 1.Kijani-sura ya africa. 2.Njano-Madini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Thursday, 18 October 2012 Written By Ismael Kiyonga in Share Share Following his desire to switch nationality, Ugandan born Kenyan based striker Daniel 'Mzee' Sserukuma has recieved...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
mkuu Gang Chomba umeiona hii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kile kisiwa kidogo chenye watu laki tano tuu Cape Verde kimefanikiwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Afrika (Africa Cup of Nations) baada ya kucharagaza Cameron na akina Eto'o. Cameroon...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Tupo uwanja wa taifa live tunangalia mechi nimekaa jukwaa la simba mpaka sasa simba 1 kagera 0,ila kagera kidogo wamebadilika wanashambulia vizuri,tutaendelea kufamishana ila naskia star tv wako live
0 Reactions
143 Replies
12K Views
PICHA ZA MCHEZO WA TOTO NA YANGA ULIOCHEZWA JUMATANO YA TRH 10 OCT 2012 CCM KIRUMBA MWANZA
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Watu wenye umri mkubwa wa kuzaliwa wa timu ya Yanga jana walitoa kauli ati hawakotayari kuvaa jezi za mdhamini kwa sababu jezi hizo zina mkono wa Simba. Hawa ni mbumbumbu wa mikataba, lazima...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wengi tunajiuliza TFF kwa nini HAICHUKULII hatua klabu ya Yanga kwa kuvunja kipengere rahisi mno cha mkataba wa mdhamini wa ligi cha timu kutokuvaa LOGO ya mdhamini hatua zipi zichukuliwe...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Title ipo kwa kingereza kuonyesha msisitizo zaidi... Pass ya kupenyezewa,move ya Bahanuzi ambayo iliuliwa kwa kuamuliwa kama offside na Refa pamoja na msaidizi wake, shame on them!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
samahani wadau sijawahi kuingia uwanja wa taifa kuangalia mechi ila leo nataka kwenda kuangalia mechi ya simba nimeomba ruhusa kazini,sasa wapi tiketi zinauzwa? au pale nje ya uwanja
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau, Naona Azam FC wamefanya mapinduzi ya kweli ya kimaendeleo kwa soka ya Tanzania, kwani wao tayari wameweza kurusha hewani kipindi chao cha habari zao kinachoitwa Azam FC TV, Katibu MKuu wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naona ngoma ni 1-0 dk ya 39 first half:Simba anaongoza mfungaji ni Sunzu.
1 Reactions
0 Replies
985 Views
Usain Bolt will skip an Olympic tuneup event in Monaco due to a "slight problem," but vows to defend his titles in the 100 and 200 at the London Games against a field that includes the man who...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani hawa liverpool wanatatizo gani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama mdau wa soka unatoa ushauri gani juu ya utendaji wa kila siku wa Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siyo siri kwamba Yanga imeshitakiwa FIFA ikidaiwa takribani TZS 36m/= kwa mchanganuo wa Njoroge 17m/= na Papic 19m/=. Vile vile Yanga inadaiwa na Simba 50m/= za Mbuyu Twite. Kwa upande wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya mlioko Mkwakwani tunasubiri mtuhabarishe. Naona mida ndo hii
0 Reactions
222 Replies
23K Views
Just curious, naombeni mnifahamishe maana kila nikijaribu kuchunguza mechi zao naona kama wanapeleka tu mpira mbele ili mradi purukushani izae goli.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tatizo lilopo yanga moja kocha msaidizi anataka kuwa na majukumu ya kocha mkuu ...inapofika swala la kupanga timu minziro amekuwa mtundu sana kutaka watu wake wawepo kwa garama zozote..sasa kama...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom