Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ni kauli iliyotolewa na TFF leo na kuwataka simba wawe wapole maana hakuna kanuni ya TFF inayoilazimisha Yanga kuwalipa simba maana simba walipeana pesa na Twite kihuni. Na simba wamejibu mapigo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
By Mphamvu Daniel, 15th October 2012! This weekend I came to my regular place where I usually watch European football encounters. Venue was full as if it was Barcelona against Madrid or...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani mi sijawahi ku attend games au kufuatilia sana games za teams za africa..je kuna racism in africa? ninavyosema racism simaanishi ubaguzi wa rangi tu bali hata ubaguzi wa dini, kabila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kutoa droo mechi 3 mfululizo,team ya Simba sasa imekuja na kali nyingine baada ya kuitaka TFF kuwapangia kwenye mechi zao marefa wenye beji za FIFA kwa madai kuwa wale wasio na beji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bao la dakika ya 70 la Mansour lilitosha kuwasukuma nje TP Mazembe kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika na kuwafanya Esperance watinge Fainali ya pili mfululizo.Sasa Esperance watakuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dakika kama ya 30 hivi tangu mpira uanze magoli bado ni 0 - 0
1 Reactions
175 Replies
16K Views
Leo ni nafasi ya Simba ama kuendelea kujikita kwenye kilele cha ligi au kuiweka rehani nafasi hiyo kwa Yanga wanaoonekana kuinyatia kwa kasi. Tunaomba live updates kwa wale mnaongalia au...
0 Reactions
128 Replies
9K Views
Visit -> eplON with your smartphone. And get lattest EPL actions at your finger tips!. For those who uses Android Smartphones(320x480 res) can download a compelete native APP at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mechi itaanza muda si mrefu na vijana wa Toto African wanakila sababu ya kufanya vizuri kwenye uwanja wao wa nyumbani na ikiwezekana kuchukua point 3 muhimu kwa ndugu zao Yanga. Kila la kheri...
0 Reactions
201 Replies
16K Views
Katika kipindi cha Epic Bongo Star Search, kijana mmoja aliyefanya vibaya sana akamfananisha na Yanga. Ati Yanga ni kawaida yao kufanya vibaya. Hiii, hiii mie nalia, kweli anatudharau hivi jamani...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Kulingana na maneno yake huyu jamaa alikuwa anatengeneza safu ya kurudi tena kuwa Rais wa TFF baada ya Tenga heshima na wazifa aliopewa ni hatari kwa soka ya TZ nimemsikia mara nyingi sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkataba wa uzamini wa ligi kuu kati ya tff na vodacom unakataza timu nyingine kuzaminiwa na kampuni nyingine ya simu ..na kwa upande mwingine fedha zenyewe za udhamini kwa timu ni kama hakuna...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto Blog) Kaimu Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo mechi ni nzuri tutakuwa uwanjani masaa machache toka sasa tukishuhudia pambano jepesi kwa Yanga,ikishinda leo basi ubingwa jangwani mana lazima mnyama Simba apakatwe pale ccm-kirumba na...
0 Reactions
123 Replies
13K Views
Ndugu wapenzi wa Arsenal poleni kwa kichapo cha bao 1-0 sasa jitihada za champions league zimeanza kuwa ngumu!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapenzi wa Manu U habari ndio hiyo.....
0 Reactions
5 Replies
881 Views
CONTEST: VODACOM PREMIER LEAGUE VENUE: CCM MKWAKWANI, TANGA KICK OFF: 1600 EAT Comments: Stay in touch for live updates ================== ================== FT: CUSC 3 - 1 Mtibwa
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana jf tujadili hili mana litaua soka kama kweli lipo,baada ya yanga kutofanya vizuri kwenye mechi zake kuna siku hasa baada yanga kufungwa na kagera nilimskia kiongozi wa yanga akiwalaumu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Lile sakata lililokuwa linawakera wapenda soka katika jiji la DSM la kamati ya Uchaguzi ya mkoa wa DSM iliyokuwa inaongozwa na Muhdin Ndolanga kulazimisha na kumbeba Amin Bakhresa bila kuzingatia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ANGUKO LA UCHUMI UGIRIKI LASABABISHA KLABU KUDHAMINIWA NA DANGURO - WACHEZAJI WAAHIDIWA MADEMU WAKISHINDA MECHII Kama ilivyo kwa vitu vingi vingine nchini Ugiriki, klabu za soka nazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom