Beki wa kisiki wa Simba, Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya JKT Orjoro ya Arusha kutokana na kuumizwa mguu na mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi katika mchezo uliochezwa usiku wa...
Wakuu kuna habari eti kuwa miaka ya nyuma sana wachezaji wa Simba na Yanga walikuwa wakichezea timu zao kwa mapenzi ya moyo kabisa siyo kama kazi. Kutokana na mapenzi hayo, walikuwa hawahami...
Thursday, October 4, 2012*
Pambano la watani wa jadi Yanga na Simba la Ligi Kuu ya Vodacom lililochezwa jana (Oktoba 3 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya bao 1-1...
Mbingu jaman
nimeona hayo mapato na idadi iliotangazwa nimebaki wazi kumbe ukiona tff watu wanakomaa
kwa garama wanajua wapi zinarudi aisee ..ukiwa kama mwanamichezo kuna uchaguzi wa tff hivi...
Katika pambano la juzi la Simba na Yanga Jumla ya mashabiki 50,455 walishuhudia pambano hilo na kuingiza sh 390,568,000, huku Yanga na Simba kila moja ikiambulia sh 93.3 milioni.
Watazamaji...
PAMBANO LA YANGA, SIMBA LAINGIZA MIL 390/-
Pambano la watani wa jadi Yanga na Simba la Ligi Kuu ya Vodacom lililochezwa jana (Oktoba 3 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa...
Aaron Ramsey(ArsenAl) Scores the 3rd Goal against OLympiacos ..
It is said on internet memes that every time Aaron Ramsey scores an important goal, someone famous dies, series Coincidences...
Asante sana StarTv Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE
updates:
Simba 1 - Yanga 1
- Goli la simba limefungwa dk ya 4 na Mchezaji Amri Kiemba, Goli la Yanga limefungwa na Bahanuzi katika...
Huu mchezo wa kupenda kupiga domo kwenye vyombo vya habari unaofanywa na mabondia wa hapa nyumbani pindi wanapoomba pambano na dume la milima ya Uluguru utaisha lini?
Jana, Karama Nyilawila...
4-foot-5 man's ridiculous basketball skills
Despite his diminutive stature, Jamani Love has earned respect on the famed Venice Beach courts.
The 4-foot-5 Love showcased his moves at the Venice...
Boxing has first openly gay competitor
Orlando Cruz
A Puerto Rican featherweight has publicly announced he is homosexual, making him the first openly gay active boxer in history.
Orlando Cruz...
Kweli Simba baba lao. Wachezaji wengi wamekuwa wakitaka kuchezea Simba kwa sababu future yao inaonekana ya kwenda kucheza nje.
Tunayo mifano mingi na hakuna anayebisha.
Hebu wadau wa Simba tulete...
Live Feeds follow this link: https://www.jamiiforums.com/sports/332695-simba-vs-yanga-oct-03-2012-a.html
Haya haya tena kumekucha wapenzi wa kabumbu wa bongo.
Yamebaki takribani masaa 48 kabla...
"UDIKTETA" kumbe haupo kwenye SIASA pekee na naamini huanzia NYUMBANI kwanza.
Hivi soka letu kama nchi litafufuka kweli ikiwa watawala pale TFF wanaona mawazo yao tu ndo sahihi? Udhamini wa timu...
Simba na Yanga kwa ninavyoona Mimi ni maadui. Adui ni yule anaye wish mabaya kwa mwenzake, ambayo ndio hizi timu zinavyofanya Sasa tutawaitaje watani wakati ni maadui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.