Siku kadhaa baada ya Aguero ambaye ni mchezaji wa MAN city raia wa ARGENTINA kulalamika kuwa marefa wa uingereza wanatabia ya kuwapendelea wachezaji wa uingereza,utafiti umeibuka na kumuunga mkono...
Wazee wa kufukuza fukuza mna bahati sana juzi mlipata penalt la sivyo mngelala na kale kamoja.
Na msimu huu mtashuka na daraja kabisa manake mtapigwa na kila mtu ..halafu nyie sio wa kuwapiga...
Jana nilimsikia kupitia kituo cha Television cha ITV Msemaji(ovyo) wa Simba (Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara) Bwana Ezekiel Kamwaga akiujulisha uma wa watanzania hatua wanazojiandaa kuchukua...
Nawasalimu wana Jf?
Siyo siri baada ya pambano la watani wa jadi.Jina la Boban limekuwa likipamba kwenye vyombo vya habar pamoja na midomo ya WENYE VICHWA VIGUMU ambao huwa wanasubiri dkk 90...
ile miamba ya soka hispania na ulaya kwa ujumla inakutana tena leo hii.
Tufuatilie kwa pamoja...
Mimi ni shabiki wa real madrid
kipute kimeanza bado bao ni 0-0
madrid 1 baca 0 dk 25...
Moderators ningewashauri kuwa na ubunifu wa kuyatengeneza majukwaa kuwa na mvuto zaidi badala ya kusubiria tu mada za kutoka kwa wadau.
Mfano, michezo ya super league ningetegemea moderator...
Ni jioni hii ambapo imelazimishwa suluhu na Esperance ya Tunisia nyumbani kwake. Ilikuwa ni mechi ya kwanza ya hatua ya nusu fainali Barani Afrika. Mazembe walimaliza kumi baada ya Sunzu kulimwa...
Kama ilivyotarajiwa na wengi wale wachezaji wa kukodi No. 12 na No. 13 waliowawezesha Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Tanzania Bara Simba S.C kutoka droo ya goli 1 - 1 na Mabingwa wa kusakata...
Wanajamvini siku moja baada ya mechi kati ya Yanga na Simba kulitokea mabishano mengi kati ya mashabiki wa pande zote mbili,huku kila mmoja akiwalaumu waamuzi kwamba ndio waliosababisha timu yao...
....... Kweli kelele za chura hazimzuii mwenye kisima kuchota maji, na usiogope maneno kwani hata kwenye kanga yapo..... zile kelele za usajili wa kupindukia wa gharama kubwa lakini wameishia...
Kama kawaida Arsenal wanaonekana kuutawala mchezo kwa dakika hizi zote za mwanzoni, lakini mpaka sasa ni dakika wa 25 sasa Arsenal washapigwa moja! Ni goli lililofungwa dakika ya 21 na Mohamed...
WAKATI wingu la utata wa hesabu sahihi za mapato katika mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, iliyopigwa Jumatano iliyopita likitanda, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesisitiza sh...
Beki wa kisiki wa Simba, Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya JKT Orjoro ya Arusha kutokana na kuumizwa mguu na mshambuliaji wa Yanga Said Bahanuzi katika mchezo uliochezwa usiku wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.