Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Fungua clouds Tv wamejiunga na tv ya ukweli Simba Tv chama la ukweliiiiii.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa BFT ameachiwa huru na mahakama leo. Wenye habari zaidi naomba mtujuze maana Global Publishers hawakutoa details.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
L Timu zote mbili zinakaguliwa Wanahabari wakikimbizana na matukio timu zikiendelea kukaguliwa Uwanja wa Kirumba ukiendelea kushona watu Hawa ni wachezaji wa Toto. Dar Yanga Africans Bao...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Sasa ananyanyai madaluga kama Salum Kabunda 'Ninja': Tribunal gives Ronaldinho 1-match ban SAO PAULO -- Brazil's sports tribunal has suspended Ronaldinho for one game for a dangerous kick that...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
uganda imeaga mashindano ya africa baada ya kufungwa penalti tisa kwa nane. mara ya kwanza Uganda ilivyo enda zambia ilifungwa goli moja na leo uganda imeifunga zambia goli moja lililopelekea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana katika michezo ya ITV niliwasikia viongozi wa African Lyon wakilalamikia maamuzi ya TFF ya kuzuia udhamini wao na ZANTEL kampuni mojawapo ya simu nchini. Kwa hili tenha hajautendea haki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
It would be a crime if Cristiano Ronaldo lost out to Lionel Messi for the 2012 Ballon d'Or, his Real Madrid coach Jose Mourinho said on Friday. Mourinho hit back at remarks by Barcelona coach's...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Tawi la Uswisi la KIBA linafurahi sana kutangaza kwamba Mashindano ya Kimataifa ya Tano ya Mchezo wa Bao yatafanyiwa mjini La Tour de Peilz (Uswisi) kuanzia Novemba 10 hadi Novemba 11, 2012 (taz...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu msimu wa usajili ulipoanza kwa timu zetu hapa nchini hasa za Yanga, Simba na Azam, yalisemwa mengi na wengine hata kufikia hatua za kujiapiza na kuwekeana dau kana kwamba wao ndio wanaoingia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tokea Yanga wafungwe magoli 2-0 huko Zanzibar kwenye kombe la muungano baadaye tukashuhudia Mnyama huyo huyo akitoa kipigo dhalili cha magoli 5-0 kwa Yanga mapema mwaka huu, nimeiona Yanga...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kipindi cha michezo (Spot) 09/10/2012 Radio one kinamkariri aliyekuwa msemaji wa Yanga Luise Sendeu akilalamika kwamba yeye na wenzake waliotimuliwa Yanga baada ya matatizo ya Mbeya na Morogoro...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Angalia kwa makini namna Haruna Moshi alivoufuata mguu wa Yondani na alivokunja sura, angalia position ya mpira hutosita kusema jamaa alikusudia kumuumiza mwenzie!
4 Reactions
76 Replies
19K Views
  • Closed
Cisse and Ba could lead Muslim players' boycott of wearing new Wonga sponsor on Newcastle shirt By SPORTSMAIL REPORTER PUBLISHED: 04:00 EST, 10 October 2012 | UPDATED: 04:11 EST, 10 October...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Aliyekuwa Kocha wa Yanga Tom Saintfiet amekuwa Kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu YEMEN.. Source: Super Sports
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tenga acha unafiki! kama ni kweli uongozi wa soka ni wito mbona wewe upo TFF tangu 2004,takribani miaka 8 sasa.Kama ni wito kwa nini uliwafanyia fitina Michael Wambura na Jamal Malinzi wasigombee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watch VideoPlay Video Today we continue our National Day Special Young China. There’s a football player in Shanghai who’s redefining what it means to be a Chinese. Eddy Francis, Football player...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutokana na kiwango alichoonyesha katika mechi chache za ligi kuu Tanzania Bara, nathubutu kusema kuwa kiungo mahiri wa Simba Amri Kiemba ameonyesha umahiri katika kuliziba pengo aliloliacha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbwenuuuuuuuuuh ................. yakamtera Yanga!!!!!!!!!!!!!! 1 - 0 front ya My wife wake... is very fantastic Hawa YANGA pamoja na wachezaji wa mataifa sita ... Congo, Burundi, Tanzania...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo nimeshuhudia wapenzi wa Yanga eneo la Tandika wakilaumu kuwa matatizo yote wanayoyapata ya kuzomewa na watani wao wa jadi yanasababishwa na tabia ya kocha wao. Kocha huyo raia wa kigeni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
MABINGWA wa Afrika Mashariki na kati Dar Young Afrika jana kwa mara pili tena walionja joto katika michuano ya ligi kuu ya VodacomTanzania Bara,baada ya kufungwa na Kagera Sugar ya Mkoani Hapa bao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom