Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Juzi vimetoka viwango vya fifa na tanzania imeendelea kuporomoka na moja ya sababu ya kuporomoka ni timu yetu ya taifa kutocheza mechi za kimataifa mara kwa mara. Kuanzia jana tumeshuhudia timu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaamu wanajamvi, Nimefuatilia mashindano ya riadha yaliyoisha mwishoni mwa juma Uwanja wa Taifa hapo Dar es Salaam, japo sikuweza kwenda lakini kupitia vyombo vya habari niliweza kujua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wednesday, September 5, 2012 NJAA YETU ILIIOKOA MILAMBO KUSHUKA DARAJA BAADA YA KUTEMBEA KWA MIGUU KM 16 Timu ya soka marufu kuwahi kutokea hapa mkoani Tabora...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Pasipo kuweka hdharani mashaka yake kuwa kiwango cha Simba sasa hivi hakiwezi kuwapa changamoto ya mazoezi ya nguvu, Kocha wa team ya Sofapaka aliliambia gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
JAMAA ZANGU WATANZANIA JEE HIZO DOLA ELFU HAMSINI ZINAWEZA KULETA MAENDELEO GANI KWA TIMU ZETU ZA TANZANIA ? Timu za tanzania zinatumia pesa nyingi kusajili wachezaji wa nje ambao baada ya miaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasa ni nchi ya 132,siasa hatuwezi na mpira pia hatujui kucheza,tatizo ni nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakubali kuwa kipindi hiki kina umuhimu wake katika kuendeleza na kujadili michezo mbalimba nchini, lakini kinachonikera na kunifanya kupata kizaazaa ni wale wanaoshiriki katika vipindi hivyo, kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo bado magumu kwa Simba kwenye uwanja wa Taifa, ambapo leo inacheza mechi ya kirafiki na Sofapaka, na mpaka muda huu Simba imeshatandikwa magoli 3-0, na kwa hali inayoonekana wanaweza kufungwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau wa michezo hususan soka yuko wapi huyu mwanasoka nguli nahodha wa timu yetu ya taifa kwenye miaka ya tisini?Nani anajua alipo kama yuko hai na anajishughulisha na nini?maana ni miaka mingi...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Jamani naomba kuuliza mechi kati ya Tanzania na Morocco katika kutafuta nafasi za World cup itachezwa lini? Kama tunavyojua wikiendi hii ndo mechi za kusaka watakaokwenda World cup zimechezwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.young african 2.coastal union 3.simba sports club 4.african lyon 5.azam fc 6.ruvu shooting. Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Baada ya ushindi rahisi dhidi ya team ya mtaani sijui Unga Limited ya Arusha na ushindi wa tabu dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Tanzania Bara JKT Oljoro,uliofatiwa na kulazimisha sare dhidi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hizi nimezipata toka chanzo kimoja cha habari,ila kuhusu swala la YONDANI Yanga wamepewa muda mpaka tar 9 mwezi huu ili wawe wamevunja mkataba wa YONDANI simba. Chanzo hicho kinaendelea kusema...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni siku muhimu ya kulipa deni!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF! Kuna tukio ambalo si la kistaarabu kwenye soka,ingawa watu wa ndondi kwao inaweza kuwa sawa.Kama kuna kumbukumbu wakati ligi kuu ya Vodacom inaishia msimu uliopita kulitokea...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Muda mrefu sasa wadau wa soka wamekuwa wakilalamika kiwango kibovu cha soka nchini Tanzania na kutupia lawama kwa viongozi wa vilabu,makocha na wachezaji lakini kuna jambo moja ambalo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ubabaishaji mkubwa ndani ya TFF ambao wanadhamana kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania utaangamiza soka letu. Wakati dirisha la usajili lilipofungwa, TFF waliongeza muda wa usajili kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Conjestina's plight shakes Ida as help arrives Posted by BY MUTWIRI MUTUOTA on September 5, 2012 NAIROBI, Kenya, August 5- "I own many...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid. Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Yanga wanaweweseka sana na rage, kwan sasa wamekuwa ndo waongeaji sana kuhusu rage ooh aondoke simba kwa vile anahiujumu simba. Mbona sisi wenyewe hatuon alipotuhujumu? Simba sio kama nyie yanga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom