Ni kuhusu suala la kuwapa mgao vijana wao baada ya kutwaa ubingwa wa super 8.Kamwaga kasema kwamba ni hiari ya uongozi wa simba kuwapa madogo mgao au kutowapa na hawashurutishwi na mtu yoyote...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida vyombo vyombo vya habari havimtaji kabisa mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji, wamekuwa wakikwepa sana na kupepesa macho inapofika ulazima wa kumtaja Yusuph Manji...
Twite baada ya kutua Uwanja wa ndege akiwa na viongozi wa Yanga
Shabiki wa Yanga Babu Ally, akiwa na jezi ya Rage na4
Twite akizungumza na Waandishi huku amevaa jezi namba 4 yenye...
Kocha wa Real Madrid,Jose Mourinho amekaririwa akisema kuwa wachezaji Luca Modric na Pepe wataleta mchango mkubwa kwenye El-Classico leo na kupeleka ushindi Bernabeu. Majira ya saa tano usiku wa...
Habari zilizotufikia hivi punde mbuyu twttite mchezaji wa yanga na best wa simba wametua mjini kilimanjaro wakisubiri dk 30 kuelekea
dar es salaam.
Wana yanga wote tunawaomba mjitokeze kwenye...
Mchezaji wa TP Mazembe B. Samata jana usiku aliifungia timu yake goli la ushidi dhidi ya zamalek ya misri.Wakicheza kwenye uwanja wa cairo bila mashabaki ,Tp mazembe ilifunga magaoli mawili...
After a weekend of breathless Premier
League action its time to dust off your
Spanish phrasebooks and enjoy a little
Iberian fare.
El Clasicos back tonight in the first leg of the Spanish...
Hayawi hayawi yamekuwa,leo majira ya saa 10:15 kwa saa za afrika mashariki ilikuwa ni chereko nderemo na vifijo pale mashabiki wa Yanga walipojaa uwanja wa ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere...
Waliopata ITC kwa upande wa Kagera Sugar ni Wilfred Ojodale Ame na Benjamin Efe Ofuyah wote kutoka FC Abuja ya Nigeria. Wengine ni Deangelis Silva kutoka New Road ya Nepal kwenda Coastal Union...
Saintfiet has accused the Yanga administration of not meeting part of their bargain that involved paying him salary,arranging for friendlies and providing him a car according to his contract...
kufuatia kipigo cha finalii ya kagame kutoka kwa yanga,azam bado inaendelea na migogoro yao na wachezaji wao safari hii wamemvunjia mkataba moses othiambo.Inashangaza cozwalitangaza kumaliza...
Written by Robin Toskin | The Standard | August 28, 2012
"The hunger that has hope for its satisfaction does not kill," so goes an African proverb.
Such is the hunger for football success that...
Baada ya juz Yanga kuzuru Ikulu kwa Jk,kuna taarifa kuwa mheshimiwa aliwaita ikulu ili akague usajili wake..baada ya hapo ziara hyo yenye sura ya kisiasa iliendelea mpaka Rwanda huku msemaji wa...
Yanga imezidi kuwaonesha watanzania kuwa haibahatishi ushindi wake baada ya kuwachapa Africa lyion Bao nne (4) kwa sifuri, imewafurahisha mashabiki wake kwa ushindi huo mzuri kabisa, kwa mujibu...
NEW YORK (AP) -- American teenager Sloane Stephens upset 22nd-seeded Francesca Schiavone in the first round of the U.S. Open on Tuesday.The 19-year-old Stephens won 6-3, 6-4 against the 2010...
Drogba and Anelka contracts under threat August 28, 2012
By ESPN staff
Shanghai Shenhua's marquee signings Didier Drogba and Nicolas Anelka could soon be back on the market, with the...
Binafsi hupenda kumwita Mzee wa TSC ksbb blog yake husheheni matukio ya kituo hiki cha kuendeleza soka la vijana sijui kwasababu walimu'offer safari ya kuandamana na ile team yao kule Ujerumani? I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.