Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Eti ile kadi nyekundu ya ivanovic haimuhusu tena,hata2mikia adhabu ya kad ile,halali?
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Bango linajieleza....... (Hii ni kwa mujibu wa Mashabiki wa Simba a.k.a Lunyasi) Habari nilizozipata muda nikipandisha post hii ni kuwa hawa Jamaa wanatamani ingekuwa inawezekana kushusha hilo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
timu ya taifa iliyoshiliki mashindano ya olimpic jijini london,kuwasili kwa bus kesho majira ya saa 3:30 asubuhi,ww kama mtanzani na mzalendo unaombwa kujitokeza pale ubungo kuwapoke mashuja wetu,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mwenye kujua timu ya Olimpiki inarudi TZ anifahamishe nataka nikapige nao picha ya kumbukumbu pale airport. Pia nimeambatanisha kibonzo cha Timu ya Cameroon ikiwa inarejea home. je TZ...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
hivi ni vigezo gani vinatumika kuchagua watu kutuwakilisha olympic? ina maana huyu kaenda kwa ajili ya kiingereza au ni mjuzi katika kuogelea asije akawa kasajiliwa kwa mkopo kutoka south...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye hayawi hayawi YAMEKUWA baada ya Watanzania wawili kufanikiwa KUMALIZA mbio za Marathon katika siku ya mwisho ya michezo ya Olimpiki, London 2012. Hiyo ni baada ya mkimbiaji wetu mahiri...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
1. Suala la Simba kuendelea ku'mng'ang'ania Kelvin Yondani(Reffer to viapo vya Mh Mwenyekiti ambavyo amekuwa akivitoa kila mara kuwa atahakikisha Yondani hachezei Yanga ligi kuu.) Yanga inaelewa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo TFF wameongeza muda wa usajili hadi 15th Aug ambalo lilitakiwa lifungwe leo 10th Aug saa 6usiku. Wametumia vigezo gani kuongeza muda huo? Je hawana kalenda ya matukio? Au kwa kuwa Yanga...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukiangalia jinsi TFF ya Tenga na wenzake inavyoendeshwa utakubaliana na kichwa cha thread hii.kwa takriban wiki 2 zilizopita kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo yanalichimbia kabur soka...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
wadai hii game inapigwa muda gan kwa huku kwetu tz. Manake magazeti mengi yameandikwa muda tofauti tofauti sana, aliyotoka jana jana na leo.
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Stephen Kiprotich of Uganda wins Olympic gold medal in the men's marathon 1.MUSSA Faustine 2. RAMADHANI Samson hao ndio wanao kimbiza upepo huo sasa hivi
0 Reactions
108 Replies
6K Views
Timu Inazidi kukamilika Silaha Kazi zaMaangamizi zinazidi Kutua Ndani ya Lakers Team... Sasa Ndio Mwendo wa Kuchukua Ubingwa Back to Back Umewadia Ops This is Wrong Usitizame Boyz ii Men...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kawaida mwanasoka wa Kitanzania Mbwana Samatta ameendelewa kuwa mchezaji muhimu wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya DRC, baada ya kuifungia goli la pili katika mchezo wa leo dhidi ya Zamaleki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mda huu ameongea kupitia kipindi cha michezo cha clouds Fm kwamba Naibu Wazir wa michezo ameliongopea bunge kwamba alimpigia simu na yeye kukikir kuwa kauli yake kwamba Tz ikirudi na medali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Azam yaahidi kuvunja benki ili kupata signature ya OKWI.Ni habari njema kwenu coz mtapata pesa mingi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salam! Mwenye kujua chochote mpaka sasa Tanzania tumepata medali ngapi za Dhahabu, Fedha na Shaba? hapo jirani zetu kenya jana naona wameongeza nyingine ya Mwanariadha na kapteni wa Timu ya...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Hii ndo familia ya Marehemu mafisango ilipofikia..
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mfano kwenye ligi ikatokea mpaka siku ya fainali wafungaji wawili wanaoongoza kwa ufungaji na magoli yao yamelingana,tuseme kila mtu ana magoli 10,sasa kwenye mechi ya fainali kati ya wale...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom