Young Africans imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji 28 kwa shirikisho la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi.
Katibu...
The Manchester United manager confirms that the Red Devils have made a solid offer for the Arsenal striker and admits he is unsure as to how the north London side will respond.
Van Persie has...
He has a long and well documented battle with drugs and alcohol but Paul Gascoigne is at his lowest point.
The England legend has been rushed back into rehab after he reportedly binged on...
Mbando amewaambia Watanzania kupitia ITV Michezo leo kuwa timu ya vijana hao wamejiandaa vema na kutuhakikishia kutulea ushindi na sifa. Huenda machungu yetu ya Olimpiki yakapozwa na vijana hawa...
Nimepokea message muda si mrefu kwamba wakili maarufu nchini aliyekuwa pia mshabiki wa yanga ndg ruttashoborwa amefariki dunia leo katika hosp ya agha khan dar es salaam. Sababu za kifo bado...
Kwa kuwa simba inaongozwa na mwanasiasa mambo yake yote katika club ya simba anayaendesha kisiasa,hatoi ushirikiano na viongozi wenzake,kauli zake ni za kukurupuka,itakuwa vema kama atafanikiwa...
Full time...Mexico 2 Brazil 1.
Gold medal katika soccer imekwenda Mexico na Brazil inaendelea kuwa Soccer Giant ambae hajatwaa gold medal katika soccer kwenye michezo ya olimpiki.
Familia ya aliyekuwa mchezaji wa simba MAFISANGO jana ilikumbana na kadhia ya kufukuzwa kwenye nyumba wanayoishi na vitu vyao vyote kutolewa nje baada ya kushindwa kulipia pango,jukumu la kulipia...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limevitaka vyombo vya habari kuwa mstari wa mbele katika kudhibiti kazi za Sanaa zisizo na maadili kabla ya kwenda hewani ili kuepuka mmomonyoko wamaadili katika...
Wakati Uganda wameshinda Dhahabu kwenye marathon, Kenya wameshinda fedha na shaba. Watanzania wawili wamemaliza wakishika nafasi ya 33 na 66! Ni aibu sana...toka Nyambui na Bayi wajipatie fedha...
Nimesoma kwenye blog ya Mahmoud Zubeiry mmoja wa waandishi wa habari wanazi wakubwa wa yanga kwamba beki Mbuyu Twite aliesajiliwa na Simba toka APR amesajiliwa na Yanga, wamembadilisha uraia wake...
Hiyo figure ameitamka mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage akiongea na waandishi wa habari akimtaka mchezaji wa Rwanda aliyesajiliwa na Simba azirudishe, zikiwa ni gharama za mawakili...
Imani Makongoro
BINGWA wa ngumi za kulipwa, Francis SMG Cheka ameingia katika orodha ya mabondia bora 15 duniani wanaotambuliwa na Chama cha Masumbwi cha IBF.
Cheka bingwa wa taji hilo Afrika...
Watanzania wengi, Wakiwamo wapenzi wa Simba wote wanajua ya kwamba Yusuf Manji ni fisadi namba moja nchini kwa sasa hivi. Kila mzalendo wa nchi hii anajua jinsi Yusuf Manji anavyohusika katika...
Jana ktk kufunga michezo ya olympik nimeshudia wakenya na waganda wakiinjoy huku bendera zao zikipeperushwa kwa mafanikio yao ya usimamizi dhabiti ila kwa sisi sijui tunakwenda wapi
Pamoja na kuwa mchezaji wao mwenye mkataba, simba imelazimika kumpa emmanuel okwi kiasi cha milioni 50 na gari juu, lengo ni kuhakikisha anaitumikia club hii,
Hello wakuu,
Naomba mnisaidie kunitajia maeneo jijini Dar-es-salaam ambapo naweza fanya bowling...halafu na maeneo ya Salsa&Zumba pia Merengue dances..ikiwezekana na mawasiliano ya hizo sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.