Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Nimeudhishwa sana na kitendo cha kitapeli na kisichokuwa cha kiuanamichezo kilichofanywa na mchezaji MBUYU TWITE wa APR ya Rwanda. Mchezaji huyu alisajiliwa na Simba SC kutoka APR, lakini katika...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nangalia kipimajoto africa Bida Bidai na LEonad tadeu. Mheshimiwa tadeo kabanwa na dida bidai hadi amepaniki anataka kukimbia kipindi. Wanazungumzia ishu ya tanzania kufanya vibaya olimpiki
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Mwanzo walikuwa wanasajili hivi:- Mwenyekiti wa Simba akimsainisha Mbuyi Twite. Hapa wamemaliza kazi, Walipoona wenzao wanasajili hivi:- Kisha wana:- Ushahidi wa mchana kweupee, Na wao sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa bado ni dhamira ya Serikali yake kuileta moja ya timu za Ligi Kuu ya Soka ya Hispania – La Liga – kutembelea...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1 Reactions
1 Replies
934 Views
wana jf,nataka kununua dstv compaq plus eti gharama zake zikoje? Na je kuna channel ngapi za sports.Mi nko arusha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAKATI KIPROTICH AKIIBUKA NA SHILINGI MILION 200 UGANDA KWA KUSHINDA MEDALI OLIMPIKI, WASHIRIKI WA TANZANIA WAREJEA NA VISINGIZIO. 16 August 2012 Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameiagiza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mr Fergie alex tayari kaangusha jiwe jipya kabisa ndani ya mashetani wekundu kwa kiasi cha kama £24 M hivi,bado tujiulize kama RVP ni mtu atayeleta changamoto na mafanikio ndani ya old trafford au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
u r doin great guyz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana-JF, Baada ya majuzi tu kuwa na makala iliyoandikwa zaidi ikimdhalilisha mwenyekiti wa Simba S.C, ndugu Aden Rage, na pia kuwa na mifululizo ya habari za kuikashfu Simba hasa Viongozi wake...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Amedadavua hivyo leo kwenye show ya Big Brother Stargame kwa kuonesha ubunifu wake wa kisanaa. Kama haitoshi aliweka noti ya Elfu kumi ya kiTanzania (Msimbazi) kwenye presentation yake kutambua...
7 Reactions
46 Replies
10K Views
Jioni hii kwenye Michezo na Times Fm nimejulishwa kauli ya Wekundu wa msmbz juu ya pesa za M. Twite, kwaujumla zimethibitisha nilichokuwa nakifikiria juu ya Watani wa jadi, Yng SC. Hapa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
United agree van Persie deal Manchester United is pleased to announce it has reached agreement with Arsenal Football Club for the transfer of Robin Van Persie. The deal is subject to a...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mechi ya kirafiki kati ya Tanzania(Taifa stars) na Botswana iliyochezwa leo usiku jijini Gaborone imeisha kwa sare ya mabao 3 kwa 3. kila timu ilifunga magoli mawili kipindi cha kwanza.kipindi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Miezi kadhaa nilileta thread hapa kuwaulikiza wanachama na wapenzi wa simba, nani kaona eneo au kiwanja Rage na uongozi wa simba wanasema watajenga uwanja. sikupata jibu. Uongozi wa Rage umebakiza...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Fabrice Muamba Atundika daruga katika ulimwengu wa soka baada ya ushauri kutoka kwa madaktari wake wa ugonjwa wa moyo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
dakika ya 25 simba 1 azam 0
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani kuna ndugu yangu(Simba damu) anakaribia kuchanganyikiwa huku. Hebu nisaidieni habari za uhakika, Okwi ka-sign Yanga kweli? au kama ni uzushi, ukweli ni upi? Heshima kwenu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
KUNDI A A1 Simba SC A2 Jamhuri FC A3 Zimamoto FC A4 Mtende FC Agosti 5, 2012 Simba...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakati niliposoma tambo za Msemaji(ovyo) wa team ya Simba kuhusiana na usajili wa Ngassa na Twite Simba na baadaye kusikia kashfa alizozitoa Mwenyekiti wa Club hiyo dhidi ya Mjumbe wa Kamati ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom