Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
hii ndio timu yetu ya olympic
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kwa mara nyingine tena yanga wananyakua kombe na kulitetea pia,kiukweli wamecheza poa,azam pia wamecheza poa,ila mpira dakika 90,yanga 2 azam wanaambulia patupu,simba ni muda wa makosa mliofanya...
1 Reactions
1 Replies
999 Views
mwenye ule wimbo wa pepe kale aweke hapa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Azam Football Club..Nitimu inayokuja kwa kazi hapa tanzania Naona umefika wakati wakuwa na natimu za Simba na Yanga .....Wakati wakuishabikia Azamu kwakuwa inaonyesha kandanda nzuri!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Former slum dweller in Olympic torch relay Julius Mwelu became part of history when he participated in the Olympic Torch Relay in Norwich City, United Kingdom early this month.The former...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Our land never runs out of eyebrow-raising issues/scenarios. Picture this one. USA has an athlete team of 512 runners in the ongoing olympic games.Let alone other games. Uk has more than 500...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko natazama mashindano ya riadha ya International Association of Athletics Federations (IAAF) yanayofanyika huko Monaco muda huu. Nawaona wanariadha wa Kenya, Africa Kusini, Nigrria, Ethiopia nk...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hakika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya olympiki zimefana, waingereza wanaitendea haki historia ya nch yao wanaonesha namna yalivoanza mapinduz ya viwanda na mambo mengi tu. mambo ya km haya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kweli ana kiwango kinachoandika kuwa Simba au Mnyama hashindi kwa sababu OKWI hayupo? Napenda kuwakumbusha ukiangalia pambano la mwisho la SIMBA vs Yanga ambao Yanga alilala 5 -0 kwa mu...
0 Reactions
1 Replies
817 Views
hawa jamaa sijui vipi, wanashindwa kumtangaza bwana manji kuwa ndie mwenyekiti wa yanga wanabaki kuuma uma maneno tu, vipi wametumwa? acheni uswahili bwna, mnakuwa vituko tu, mnashindana na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
The government did not provide money for Ugandan athletes to fund their preparations ahead of the 2012 Olympics that start tomorrow in London, a senior official has said. Investigations by this...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Kuna uwezekano mkubwa kwamba endapo serikali ingewekeza kikamilifu katika michezo walau ingepunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira kwa vijana. Ni ukweli kuwa vijana wengi wana vipaji vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu ya soka ya Hispania inayoshiriki michuano ya Olimpiki nchini Uingereza,imechezea kichapo cha bao moja kwa bila toka kwa Japan. Ni katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo. Kazi imeanza...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Half time Morocco 1 hondurus 0 Goli limefungwa na Barrada dk 38
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Van Persie departure hint: Gunners release squad numbers - but no shirt for Podolski Arsenal have announced their squad numbers for the 2012-13 season and although Robin van Persie has retained...
0 Reactions
3 Replies
874 Views
On Sunday the Premier met soccer legends Didier Drogba and Nicholas Anelka in a bid to convince them to open soccer academy in Kenya. Raila who is on a one week official visit to China met...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Ndugu zangu Msinishambulie kama mlivyofanya kwa J.Mhagama. Huu ni utani tu kwa furaha ya Simba SC "kulambwa" na Azam FC. Keep cool guys. Chonde chonde msimshambulie Jenesta; maana alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya mpira wa Simba vs Azam kwisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Inaonekana picha ya Mwinyi kazimoto anamuomba maji mzungu mmoja wa Azam afu jamaa kamnyima LIVE...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
:spy:Mtangazaji maarufu wa kipindi cha duru za michezo Wapo radio Fm Joseph Mapunda amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi ktk hospitali ya Temeke Juzi. hiyo ni kwa mujibu wa matangazo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutoka kwa mwenyekiti wa simba, ismael aden rage anadai katunzi mmiliki wa tp mazembe amemwambia kuwa wasaka vipaji wa manchester city wame2mwa kumwinda mbwana samatta ambaye samani yake ni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom