Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Napenda kuwapongeza TFF kwa kuhakikisha mkoa (nchi) Dar Es Salaam soka linakuwa, nasi huku mikoani tunatumia rasilimali tulizo nazo kuendeleza soka vilevile na Inshaala ipo siku tutafikia kiwango...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
In Pictures, Sound & Videos...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
H Sebastian Vettel hit out at Lewis Hamilton for unlapping himself during the German Grand Prix in a bizarre incident, calling the McLaren driver's actions "stupid". Hamilton was a...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
do your thing
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Oliech moves to Turkey in Sh200m deal Harambee Stars captain Dennis Oliech has joined Turkish club Kasimpasar Spor on a three-year lucrative deal worth Sh7 million a month. Oliech has been...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nadhani imefika wakati huu jamaa kuachana na ulingo na kujikita ktk mchezo huo kwa nadharia nyingine. Umri umemtupa mkono 'jioni ishaingia' kama watoto wa mjini tusemavyo.. Othwz njaa itamtoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kaka zao La Roja kutwaa ubingwa wa EURO2012, vijana wa chini ya miaka 19 wametwaa ubingwa wa mwaka huu dhidi ya wapinzani wao Greece. Kwa habari zaidi, bonyeza HAPA Huu ni ushindi wa 6...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mwanamichezo na mpenzi wa Yanga naahidi kwa moyo wangu wote kwamba sintakujasikiliza kipindi cha spoti cha Radio One. Sababu: Nilipoteza muda wangu mwingi kusubiri kipindi cha michezo cha...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Arsenal kiboko, sijui mzee wenger alikua anajua hawa wezi ipo siku watavunja tu makabati yake???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Timu zetu zinazoshiriki michuano ya Kagame simba, Yanga na Azam bado zimeshindwa kutuonyesha kama zilikuwa kwenye Maandalizi ya kutosha ya michuano mikubwa ya Afrika Mashariki na Kati na badala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wwe champion cm punk DEFEAT daniel brayn world champion sheamus DEFEAT albeto delio John cena WIN money in the bank breafkest so he can cash for wwe champion on Raw. Dolp zigge Win money in the...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndg wana jf ndo kusema waendesha kipindi cha sports hawajui nani kawa mwenyekiti wa yanga?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani, I stand to be corrected, lakini sijaona Mtanzania yeyote kwenye haya mashindano. haya mashindano ndo yanatoa platform for future athletees ulimwenguni. Nimeona nchi karibia zote za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu uongozi wa Yanga ulitakiwa kumshauri kocha mpya kuwa mshauri wa Minziro. Issue ilitakiwa kuwa hivi:- Kwa kuwa kocha mpya hakuwa anaijuwa Yanga vizuri, nikiwa na maaea ya kuwajua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SimbaSC imekuwa klabu ya kwanza kunyakua kombe la urafiki baada ya kuibanjua AzamFC kwa Penati 3_1 baada ya kutoka 2_2 ktk muda wa kawaida. Shujaa wa Simba alikuwa nahodha Juma Kaseja baada kufuta...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu napenda kujua matokeo ya uchaguzi wa Yanga..........pls kwa aliye na matokeo kamili ya uchaguzi huo ayaweke hapa! Manji kashinda!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii forums na wapenzi wa jukwaa hili la Michezo. Kwa wale tunaofuatilia ligi kuu ya uingereza,kumekuwa na matukio mawili yanayohusishwa na ubaguzi wa rangi,yakiwakabili JT(John...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Da jana Yanga kapigwa mbili na leo Simba kapigwa mbili.......itabidi tumrudie Mungu hii nchi imelaniwa !
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani tupeni matokeo, sijui Jirani yangu ameshinda maana jana kulikuwa na watu pale kwake usiku kucha wamekesha huku wakiwa wamewasha ubani na kuongea maneno yasiyoeleweka.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom