Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Katika kudumisha mila na desturi ya utani wa jadi,. yule bingwa wa kinesi cup, urafiki cup,vpl ameaumua kumunga mkono rafiki yake bingwa wa kagame cup, tusker cup kwa kukubali kunyokewa 2-0 na...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Timu ya morogoro imeweza kunyakua kombe la copa cocacola dhidi ya mwanza mchezo ulio fanyika kwenye uwanja wa karume dar es salaam. mfungaji bora amekuwa Mtalemwa katunzi kutoka moro na timu yenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bofya hapa Kagame Cup Live | DulloSports
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nina tabiri mwenyekiti atachaguliwa Manji na makamu mwenyekiti Sanga
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mtu mwenye link ya livestream ya huu mpambano?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mara ya tatu kwa macho yangu nashuhudia penati za hatari, mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2004 robo fainali ya EURO kati ya URENO na ENGLAND sikosei alikuwa SIMAO SAMBROSA alifunga penati ya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Makipa: Yaw Berko na Aly Mustapha "Barthez" Mabeki: Juma Abdul, Godfrey Taita,David Luhende,Oscar Joshua,Nadir Haroub "Canavaro" Ladislaus Mbogo na Kelvin Yondani "Vidic" sijui...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Wadau nihabalisheni matokeo ya Yanga na Atletico coz nimekuwa busy sana leo so cjui nini kimeendelea Taifa please!
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwanini mnapigia kampeni*za waziwazi*mpinzani *wa Yusuf Manji kwenye uchaguzi wa Yanga bw.John jembele,au ndo *mmetumwa na bwana wenu (mengi) mumkandie mani ili ashindwe uchaguzi?....Mtazodoka...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hongera "Mjesani" kwa kuipenda club yetu ya Yanga hadi kutamani kuiongoza katika ngazi yake ya juu. Ninakufahamu sana John tangu ulipokuwa Tanga kwenye mashamba ya Mjesani na Mwinduro, shuleni...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi hii habari bado ipo au ishaota mbawa maana walisema itakuwa msimu wa 2012/13... Langu jicho mkono na shavu langu...#taarab#
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la michezo tanzania kupitia mwenyekiti wake Malinzi, limefikia uamuzi wa kuunda kamati ya muda ya watu wasiopungua 8 ambayo pamoja na mambo mengine itaratibu na kuitisha uchaguzi wa chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Masaa machache yaliyopita, officials mabali mbali wa mpira wa miguu walikutana Zurich kupiga kura na kuamua iwapo utumizi wa technology kuamua kama mpira umevuka mstari utumie. Matokeo ya mkutano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa kitanzania anayecheza kwenye klabu ya TP Mazembe,Mbwana Samatha aliiweka timu yake ya Mazembe katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mabingwa barani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chelsea captain John Terry has been not guilty of racially abusing fellowa footballer Anton Ferdinand during a Premier League game. We are pleased that John can now put his mind back to...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Hope itakuwa mechi nzuri sana leo, binafsi nawashukukuru ZFA kutuletea Burudani Dar
0 Reactions
64 Replies
16K Views
Atacheza mechi ya kesho dhidi ya jkt ruvu. Anaishi kwenye moja ya hotel kubwa pale bagamoyo. Yanga mnatisha aise!
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hasheem Thabeet anategemea kusaini deal na My favourite team NBA OKC.....itakuwa deal ya miaka 2..... The addition of Thabeet all but guarantees veteran center Nazr Mohammed will not return to...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom