Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Ingawa kihistoria kwa miaka ya hivi karibuni,hakuna timu iliyoweza kuchukua kombe la klabu bingwa ulaya fainali ikifanyikia nyumbani kwa timu hiyo(uwanja/nchi husika),nawatabiria Bayern Munich...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Eti henry ni mkristo furani ni muislam inatusaidia nini.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa mastaa ni waislam kamili baada Thiery Henry pia kuslim akiungana na Tyson,Ribery,Anelka na Van Parsie. Chanzo:mwanasport ya leo.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hivi kwa hap tz ni wapi nikapata kozi ya ukocha wa handball na soccer?
0 Reactions
0 Replies
810 Views
...zinazoshinda tu (timu "yako" ikivurunda unahama), nin taarifa kwenu. West Ham United wamerudi premier league baada ya kushinda play-off final. Mechi imekwisha dakika chache zilizopita.
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Miaka saba vana persie amekaa arsenal hamna kitu bora usepe ,halafu kuna yule loser mwingine Fabegras kakimbia Arsenal kahamishia mkosi Barca ,Gary cahil miezi sita tu FA CUP na CHAMPION...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu muu hali gani? Hivi yule mchambuzi machachari wa soka hapa Tz aliyekuwa akitumiwa sana na channel 10 ktk michuano hasa ya UEFA alienda wapi maana sijamwona wala kumsikia siku za karibu yuko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijui ni mimi peke yangu ninaeshangaa inakuwaje club kubwa kama simba na yanga unakuta wachezaji wanatibiwa mwananyama hospitali wanaishi keko .... na wengine wa kutoka nje wanaishi mahoteli ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wao wanacho waza ni kukata umeme kila mechi pendwa zinapocheza. Matengenezo gani ya usiku tena siku ya mechi chama kubwa chelsea....????. Niwalambe nisiwalambe?
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Baadhi ya wanachama wa Yanga wakifanya fujo klabuni hapo kupinga mkutano wa waandishi wa habari uliokuwa ufanywe na mwenyekiti wa klabu hiyo Bw. Loyd Nchunga leo mchana ambapo polisi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
2011/2012 has bin 1 of the most topsy turvy season i hav bin witness. Being an Arsenal fan is nt easy. It is an extremely hard choice 2 make and certainly nt one 4 the faint hearted while we had 2...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Inawezekana kuna watu hawajajua bado kuwa hakuna hata klabu moja ya Sudan iliyowahi kupata ushindi kwa Simba. Kama nimekosea, aje mtu anisahihishe hapa. Hata mwaka ule El-Mereikh walipovunja...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kim Poulsen kachuguliwa kuwa kocha Mkuu wa Taifa Stars kuanzia leo bila taratibu kufuatwa. Hili ni jinamizi linalotumaliza katika nchi yetu. Tenda ya kutafuta kocha mpya mbona haijatangazwa then...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niliahidi kuwaletea tathmini ya fainali tatu kali zaidi nilizowahi kuzishuhudia live za UCL kabla ya fainali ya mwaka huu May 19. Hapa naziandika kwa kifupi mno na pia kama kawaida sijazipanga kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
.............................. .......................... http://youtu.be/q_-jhVfPlZI
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waandishi wa habari za michezo wa bongo ni kikwazo kimojawapo cha maendeleo ya michezo Tz.Ingawa siukubali utawala wa nchunga,nimeshanga wanavotoa airtime kwa ajili ya mipasho ya wazee wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umefika wakat yanga tubadili rangi ya jezi zetu kutokana na mwingiliano na rangi na (siasa) ccm,na pia rangi kupoteza mvuto.Wapo watu waliochagua simba kwa sbb ya rang ,na hawakuipenda yanga kwa...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
NINGEPENDA KUWAKUMBUSHA NDUGU ZANGU MNAOKULA KIYOYOZI PALE KARUME(TFF) KWAMBA MASHABIKI TUMECHOKA SOKA LA KUSIMULIWA NA KINA BWIGANE REDIONI TOKEA ENZI NA ENZI!! UMAARUFU WA LIGI HUPATIKANA KWA...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
nauliza je CHELSEA watapata kucheza uefa hata kama hawatachukua kombe? yaani na maanisha finalist anaweza kucheza uefa atakama aja shika nafasi nzuri kwenye ligi yake
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna kitu kimeniuma ni matokeo waliyovuna Yanga katika mechi ya leo dhidi ya Simba,hivi kweli huyu anayeitwa Loyd Nchunga huko alipo anajisikiaje baada ya timu chini ya uongozi wake kutia...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom