Revealed: Why Chris Eubank gave away his sons to a virtual stranger
He has a look of his pugilist father and packs a mean punch, too. At the Top Rank boxing gym, a few yards off the brightly lit...
Wana Jf nimekuwa nikisikia sana mchezaji fulani amefunga goli kwa hat trick...
Naomba kufahamishwa kufunga kwa hat trick ni goli la aina gani?..... na nini tofauti yake na offside trick?
Wanajamvi kwa sasa ligi nyingi zimekwisha, tarehe 11 june mtanange unaanza.
Hapa tuhabarishane kwa kila kinachojiri.
Tuambiane TV gani kwa bongo itarusha au zile link za bure wewe tupia hapa...
Wadau habari zenu. Jamani naomba kwa anaejuwa saa za Warsaw Poland 2am na 445am kwetu TZ inakuwa ni saa ngapi maana mechi zote zitachezwa muda huo. Nawasilisha.
...Simba Sc...iliyokuwa chini ya mbunge wa Tabora Mjini...Aden Rage..imekuwa na Mipango mingi sana toka waingie madarakani...mipango hiyo... mabayo mingi iliwekwa Hadharani...naikumbuka michache...
Ni maneno ya bwana Mario Balotelli kuwa hakika ikitokea mtu akamrushia nditi akiwa mtaani kwa ishara ya ubaguzi basi ataenda jela kwakuwa atamuua huyo atakayefanya hivyo.
Link ni BBC Sport -...
t's not often we start off our paper round-up with a rumour from the continent, but when the news in question is a £120 million bid for Wayne Rooney we'll make an exception.
You read that right...
Mchezaji mweusi wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Man City,Mario BAroteli amesema ataondoka uwanjani endapo kutakua na vitendo vya ubaguzi wa rangi katika michuano ijayo ya EURO,,,,ambayo...
Kwani kuwa na kocha mzungu imekuwa fasheni? Mpeni timu Felix minziro analijua soka la bongo na mazingira yetu na anauchungu na timu yetu kuliko hao wahindi
BBC Sport reports that Brendan Rodgers has agreed a deal to become the new manager of Liverpool Football Club.
The 39-year-old will sign a three-year contract at Anfield and his appointment is...
Belgian superstar has delivered a snub to Premier League champions Manchester City and their rivals Manchester United by opting to join the Stamford Bridge club
By Greg Stobart
May 28, 2012...
Heshima mbele wakuu,
Zaidi ya timu za mpira 20 nchini italia zitataarifiwa kuwa zinatakiwa kuchunguzwa baada ya tuhuma za kupanga matukio kufikia hatua mpya.
alivyokaa utadhani kafungwa...
Kwa habari za uhakika na kuaminika ni kwamba simba fc baada ya kurejea toka sudan watafanya sherehe ya nguvu kwa ajiri ya kusherehekea ubingwa wa tanzania bara baada ya kuwanyuka watan wao wa...
Ningekuwa mi nipo nafasi aliyopo wenger kweli nisingekwenda nunua wachezaji wanaotaka pesa nyingi za mshahara na transer fee bali ningeopt kumnunua Clint Demsey akaja ziba nafasi ya Benayoun...
Sijui ni tatizo la nani kati ya TFF na CAF. Kwenye website ya CAF: Tanzania Football Federation (FAT) - Tanzania
Kuna timu tano tu za Tanzania - Young Africans, JKT Ruvu, Moro United, Prisons na...
After 78 of 78 laps
Position
Driver
Team
Fastest lap: S Perez 1:17.296 on lap 49
1
Australia
M Webber
Red Bull
2
Germany
N Rosberg
Mercedes
3
Spain
F Alonso
Ferrari
4
Germany
S Vettel...
Kama makocha tumebadilisha na bado timu inayumba inamaanisha tatizo lipo sehemu nyingine kwenye hii timu. Na mimi binafsi nadhani na uongozi, sidhani kama kuna separation of power naona...
Wadau naomba tujadili hili suala la olimpiki na ushiriki wa nchi yetu ya tanzania. Mpaka sasa sijasikia chochote kuhusiana nalo. Haijulikani ni wanamichezo gani wanaokwenda na timu, viongozi...
Leo saa 4 usiku ni fursa nyengine kwa Gardiola na Barca yake ili kuthibitisha kuwa ama ilikuwa ni kusuasua kwake mwaka huu bahati mbaya tu au ndio mwisho wa "Golden Era".
Filimbi ya mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.