Jamaa kaona isiwe tabu kaamua kusepa na kuachia madaraka kwa shingo upande. Ametangaza hatua hiyo ofisini kwake (Sio klabu ya Yanga Jangwani) muda wa saa 10 jioni huku tukio hilo likiwa...
Jana wakati nasikiliza kipindi cha michezo radio one nilisikitishwa sana na kauli ya kiongozi wa wazee Akilimali wa yanga ambao watanzania tulitegemea wangetumi busara zao kufanya maamuzi kwa...
As a Liverpool supporter, I have all reasons to believe that having Rafael Benitez back as a coach at Liverpool is crucial to turn around and bounce back to be among the Premier league's top...
Naomba mnisaidie ktk hili,nimesoma ktk web ya Mwananchi nikaliona jina la Kim Paulsen kama kocha mpya wa Taifa stars aliyechukua nafasasi ya Juan Paulsen! Hawa ni ndugu? Au majina yamefanana tu!
Inabidi waganga wetu akina profesa Maji marefu na d Kifimbo
wakajitangaze UK...
kuna biashara kubwa kumbe
Mario Balotelli and Samir Nasri take to voodoo to help Man City win title | Metro.co.uk
Olympic beach volleyball team stop traffic in London's Parliament Square sporting briefs and bikinis
British squad pose in bikini tops and briefs
Stunt designed to highlight how busy Londons...
Bacelona striker David Villa has broken his left shinebone in the FIFA club world cup semi fainal against Al saad...30 years old was carried of the stretcher six minutes before half-time after...
Didier Drogba amewaaga wachezaji wenzake wa klabu ya chelseaya uingereza na kuwaeleza kuwa muda umewadia
wa yeye kutemana na klabu hiyo ambayo ilishinda ubingwa wa ulaya jumamosi iliyopita kwa...
ETI wanachama 700 wa Yanga walikutana Jumapili makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam na kufikia uamuzi wa kumngoa madarakani Mwenyekiti, Wakili Lloyd Bahargu...
Kwa muda mrefu, nimekuwa mfuasi mzuri watovuti ya michezo ya www.shaffihdauda.cominayomilikiwa na Shaffih Dauda wa Clouds. Lakini huyu jamaa amekuwa akinikerasana kutokana na kuwa mtabiri wa...
Chelsea baada ya kutambua kuwa uwezo wa kuchukua ubingwa nchini Uingereza imeshindikana, wakaamua kupoteza hata nafasi za kuingia nne bora ingawa wangekazana wengeweza. Walichoamua ni kuelekeza...
Napoli FC which was well beaten by Chelsea in CL Leo wamewafunga mabingwa wa italy : Juventus goli 2-0 kwenye finali ya Italian cup! Magoli lakwanza penalti ilifungwa na Edson Cavani (Chelsea...
Who knows which clubs are the richest football clubs in the world?
Football Revenues - Home
has a lot of figures, but are those right and recent? I expected clubs
like Boca Juniors, Club...
Ningelikuwa na uwezo ningeandaa kombe la mpira wa miguu kwa kuhusisha timu ambazo Marehemu Patrick Mutesa Mafisango amewahi kuchezea zikiwamo TP Mazembe, APR, ATRACO, Azam na Simba kwa kuliita...
.....ana kiatu kikali hivi.
Hapa alikuwa akimlilia Mshikaji wake Pat' Mutesa Mafisango,pole sana Boban,njia yetu sote ni 1,Pat' ametangulia tu,MUNGU aiweke roho yake mahali pema peponi - Amein.
TB joshua atabiri matokeo ya champion League, kuwa Chelsea inahitaji maombi zaidi kuliko Bayen, Ila kasema kuna mtu mrefu mwenye upara atafunga Goli la kichwa. Tusubiri tuone wale wanaoamini...
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.