We si mjanja bwana kila demu unaemtongoza anakukubali
Hebu click link hio apo chini umtongoze asha ngedere halafu useme kakubali au kakataa
click hapa kumtongoza asha ngedere
Haya leo nimeamka na hang-over za kutoa single,nipata jina la single "nina kuzimia" kwani wasanii wengi wanatokea kwenye mapenzi sasa sijui nianzeje,hebu nisaidieni mistari waungwana.
Wanaume wote ambao huenda Bar kunywa na kulewa wana sifa moja kubwa.
Huwa wanawaona wahudumu wa Bar hawavutii kwa uzuri wakati wanapoingia, lakini muda mfupi wakishalewa huwa wanawaona wahudumu...
JF mnafanyaje pale unapohisi akili imechoka ,inahitaji mtu unayemwamini umwambie jambo linalokusibu..linalokuchosha
atakayekuwa tayari kukupa muda wa kukusikiliza ...kukuadvice and so and so...
‎"MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe alikuwa hajatulia hata kidogo. Siku moja mkewe akiwa anajivinjari na msela, MLEVI akarudi home ghafla. mkewe akamwambia yule msela Usiondoke, lala hivo hivo...
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo, karibu ndugu...
Taja jina la demu au njemba wa kwanza kukuchungulia katikati ya mapaja aka ku duuu nae!
Mi wangu wa kwanza alikuwa ni Kokushubira hukoooo mbeya kwetu, haya mtaje wa kwako na wewe.............
kwa muda sasa nimekuwa nawashangaa kwann wanasayansi
watuambie kuna jua moja wakati ukweli kuna jua la afrrika na jua la ulaya.
tofauti yake ni kubwa sana, jua la ulaya wakati wa majira ya baridi...
Binadamu tunapitia mambo mengi katika maisha yetu.
Nimeamua kuanzisha uzi huu ili tupeane uzoefu wa mambo yaliyotukuta,na kujipa matumaini mapya ya kusonga mbele,na kuwapa pole wenzetu,kwa...
This incident, is supposed to have happened in real life.
My friend, who is a the head of Human Resources at a very large bank,
says that the best excuse for absenteeism, that he had ever...
Nimesikia katika vyombo vya habari
Leo Tarehe 14 March 2012 ni siku ya hesabu
Changamoto iliyosema ni pamoja kwa ufaulu wa hisababi kuendelea kushuka Tanzania
Inabidi tuhimize kizazi hiki kipende...
Mwalimu mmoja wa shule ya msingi aliwaambia wanafunzi wake waulizane vitendawili. Wanafunzi wawili wakasimama kuulizana.,
MWANAFUNZI 1:"Kitendawiliiiiiiiii....."
MWANAFUNZI 2:"Teghaaaaaaaa...."...
Karatasi laini sana..hii na ina maandishi haya
....No 1 in Africa
....Art of Rolling
....Roll your Own...
Najua zinalipiwa kodi wakati wa kuingia Nchini.
Je zinaingizwa kwa matumizi...
Majira ya saa moja kikao kilianza rasmi mpaka sasa kinaendelea kwa muda usiojulikana.Mada kuu ni kuibinafisha jf kwa magamba ili Ipunguze kuanika ouvu wao.kwa wenye pingamizi nilazima uwe cv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.