Kuna jamaa kaenda na
mkewe bar,akaenda
kaunta kuchukua vinywaj
kukatokea mwanamke 1
anaejiuza,akaenda mpka
... kwa yule mke wa jamaa
kamwambia;uckubal
ufanye nae kabla
hajakupa hela yko...
...............this valentine thing is almost over!
Manake mtu unaweza jikuta roho inaacha mwili hivi hivi kwa misukosuko..
Mara huyu akupigie simu usiku wa manane eti anakutaarifu kesho...
House girl alikuwa akifagia chumbani kwa mama, mara akaona condom uvunguni, akauliza mama hii nini? mama akamuangalia akamjibu kwenu ham*ombwi ? house girl akajibu tuna*ombwa lakini siyo mpaka...
Madenge akiwa mdogo sana kabebwa na mama yake wanawait daladala kituoni Mara singasinga akaja, kama kawaida ya masingasinga wamefuga ndevu mpaka zimeziba mdomo, mambo ya madende ndo yakaanza...
Mimi ni around 23-26years old, hivyo basi katika kukuwa kwangu sijawahi kutumia kilevi chochote mpaka sasa, ila katika maisha yangu niliwahi kuwa na ndoto ya kuja kuvitumia hivyo vitu, Sasa naona...
nimepata uvivu kupitia hapa km imeshawahi kutolewa ,ikiwa hivyo basi ipotezee.
Pedejee mmoja alienda na mkewe
muziki, akapita binti mzuri akamsalimia,
mkewe akamuuliza ,Yule nani?
Akajibu...
Msichana mzuri aliweka tangazo
kwenye gazeti akisema anatafuta
mwanaume atakayemwoa,ambaye
hata mwacha na atamridhisha
kitandani.
kesho yake akashangaa jamaa
anagonga mlango hana miguu
wala...
Kituo cha utafiti wa matukio muhimu nchini Tz kimetangaza matokeo ya matukio yaliyojiri jana katika siku ya wapendanao duniani yaani Valentine kama ifuatavyo:-
24% YA NDOA ZILIVUNJIKA, FUMANIZI...
Eti Bahatisha,. Havijawa, havinitishi, siwazuri. Siajabu, Nifanyeni, mfanyeji. Mkalienimbali, msiba, ziara.kikucha, mkomeni nk kha hivi huwa wanafikiria nini hawa watu?
A husband and wife were trying to set up a new password to their computer.
A husband, "Put 'MYPENIS'
" and the wife fell on the ground laughing cause on screen was error, "Error.
Not long enough."
Aman was sick and tired of going to work every day while his wife
stayed home. He wanted her to see what he went through so he prayed:
'Dear Lord:
I go to work every day and put in 8 hours...
Kweli hata kama mzuka umepanda,ndio mtu unafikia hatua ya kujidhalilisha namna hii??
Ivi watoto wetu wanajifunza nini kupitia sisi??
Ivi tusipojiheshimu nani atatuheshimu??
Embu tubadilike...
Watu wanasema wachina wanatengeneza vitu feki, naomba jaribuni kujipiga risasi na bunduki ya mchina ili majibu yapatikane kama ni feki au la, pliz mnitumie majibu ya zoezi hili, Onyo dont try this...
ADVERTISEMENT FOR A WIFE !!!
FISHERMAN
Wife wanted, must be able to dig, clean, cook worms and clean fish.
Must have own boat with motor. Please send photograph of motorboat.
SALESMAN...
Katika mizunguko nimeckia watu wakilaumiana na wapenzi wao kuwa kwanini umechelewa c ungewahi mapema,mwenzake nae akajibu nawe c ungechukuwa mapema, Nikaanza upelelezi nikagundua kumbe ni GEST eti...
Eti ni kweli kanisa katoliki linasaidia vituo vya watoto wa mitaani
na yatima sana kwa kuwa wanawajua wazazi wa watoto hawa. Mh, eti ni
kwa sababu wazazi wao wengi ndo viongozi wao wa misa (...
Sasa inakera sana tena sana. Wasanii 90% wa bongo flaza wanajidai hawajui lafdhi ya kiswahili vizuri na wakiimba wanaweka lafdhi sijui ndio ya kizungu au ya ki kayumba.
Mshazisikia hizo nyimbo...
Jf members,
Jana nilitoka na Trade yenye headin' "MBWA NA RANGI"
Trade ambayo bado iko kwenye upeo wa mboni zako, na kutokana na michango niliyoipata, kwenye Thrade hiyo ikanipelekea nimtafute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.