Madenge na Babu yake walikuwa na mazungumzo yafuatayo;
BABU : Mjukuu wangu jifiche maana leo hujaenda shule na mwalimu wako huyoo anakuja.
MADENGE : Babu jifiche wewe maana nimetoa taarifa...
KWA TAARIFA YAKO :
Makundi yafuatayo yanaongoza kwa kumwaga mitusi / lugha chafu :
1. Wafanyakazi
/vibarua wa
TANESCO.
2. Barmaids.
3. Wafanyakazi
wa idara ya
AFYA...
Padre Muumini: Padri nataka kumwacha mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisa! Padri: Si bora mkeo ni nafuu, mke wa mpiga kinanda ndio hajui kitu. Muumini: Heeh! Padri: Mke wa yule mwenyekit wa...
A Boy was walking along, when he looked up to observe a bird flying overhead. Suddenly, the bird dropped a load when it was directly over him.
The Boy says, Good thing that cows dont fly.
Hii si ni sababu tosha kabisa kwa mzee ku kwea pipa kwenda kuliwakilisha taifa kwene huu msiba? Maana naona ni muda sasa hajapata safari ya kwenda mangaribi ya mbali. Mi naona tumtume akatuwakilishe.
Mtu ndio mara ya kwanza anakuja kukutembelea. Kufika na kufika tu mlangoni hata kabla hajaingia ndani anaanza
..."He, ina maana viatu ndio mnawekaga hapa? Sasa kwanini msinunue ile nanii ya...
Lipi ni ujinga zaidi???
1. Kujiita romantic wakati uko single,
2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size,
3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha...
Lipi ni ujinga zaidi???
1. Kujiita romantic wakati uko single,
2. Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size,
3. Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha...
Wana jf mm nalipendekeza lile tangazo la radio la wamasai wawili wanaongelea ulevi wao hadi mwingine akaingia boma la mama mkwe!
Tangazo bovu kabisa ni la tv la kanumba la startimes!
Najua Preta tuko mji mmoja hapa Arusha! Kindly am asking you if will you be my Valantine wangu siku ya tarehe 14/02/2012 tafadhali? Nitakuandalia bonge la suprise! Nijibu tafadhali nijibu...
jamaa fulani alikuwa mfanyakaz wa hifadhi moja huko arusha sasa akawa ametenda makosa makubwa sana kwa boss wake , ndipo boss akampa adhabu huyo jamaa adhab yenyewe ilikuwa kupita hifadhini ukiwa...
MWALIMU. ''Maandazi sita ukitoa mawili yatabaki mangapi?' MWANAFUNZI. ''UKINIPA NA MCHUZ HALIBAKI HATA MOJA"
Wat a class.......!!!!......!!!!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:
Teacher to Student: Kid, your essay on "My Dog" is exactly the same as your brother's. Did you copy from him?
Student: No, teacher, it's about the same dog!:embarassed2:
Zamani ilikuwa mtu ukipata wageni mnakaa mnapiga stori, mnapeana habari za miaka tele na kufurahi pamoja. Siku hizi hali ni tofauti. Mkishasalimiana tu kinachofuata ni kukodoa macho kwene tv. We...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.