Dah!wapemba Noma,Nina rafiki yangu Mpemba tumezoeyana sana,Nakutaniana kwa sana yani tena zaidi.Basi leo Asubui ndo kimenuka nimekutana nae maeneo ya kazi kama kawa tulivyo onana tu tukapeana...
Wahenga wanasema ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. Bandugu hali imetaiti najicheki nina kama buku tu. Okoeni jahazi jamani mtoto wa kiume nisiadhilike.
ndg JF kesho ntakuwa na game na shame wenu ambae nimemuangaikia mda mrefu, nile vyakula gani ili kesho nifanye kweli? nisaidieni ndugu ili tuondoe aibu hii kwa akinababa wenzangu......
Hivi kama katiba ingekuwa inaruhusu JK kugombea misimu mitatu, Angesimama 2015 angechaguliwa?
Just say no or Yes. Halafu FF naomba usiseme Yes ya kinafiki.
1.Kujua kugonga msumari haitoshi kuitwa fundi.
2.Kuwa na dada wengi sio kujua kutong0za.
3.Kujikwaa ni kwenda mbele.
4.Akumulikaye mchana usiku hukuzimia taa.
5.Kukaa karibu na mahakama sio...
Nimeshaona wazee wa kiume wakiwakataa, watoto walio wapata nje ya ndoa.
Aidha kuna wengine huwakubali, bt kw kificho ambapo inafanywa kua secret kati ya Mama aliemzaa mtoto huyo, Mtoto...
Habari wana-JF wenzangu, naimani mko swalama jumapili ya leo wengi mkiwa mmepumzika majumbani mwenu,
Ndugu yenu ktk jukwaa nipo safarini naelekea nyumbani Iringa so dua zenu na sala...
Sharobaro amepata mchuchu mpya. Siku hiyo usiku akampigia simu: sharobaro: hellow. Demu:hellow darling sharobaro: are you eyes? Demu: what? Sharobaro: are you eyes this time? Demu: whaaat...
Inasemekana kwamba baadhi ya member wa JF ni viongozi wa sirikali!kama ifutavyo!
FF= Sofia simba
AshaDii=Anne Makinda
NN=magufuli
Lizzy=Mama lwakatare
Lejao=Wasira
Rev Masanilo=Prof Ndulu...
EVER WONDERED WHAT'S IN A GIRL'S OR MEN'S CELLPHONE INBOX? WELL CHECK OUT THE DIFFERENCE!!!
GIRL'S INBOX:
I love u... (Mudy)
Hi babez... (Deno)
... MPESA CONFIRMED YOU HAVE RECEIVED TSH 50,000...
FL1, If you weren't so likable, then maybe those darn germs wouldn't like you so much.lol!
Hoping you become more offensive... to germs at least.
Get well soon!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.