JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Maisha magumu (kwangu)..muda huu na ka-weekend haka ningekuwa somewhere nakula gambe....lakini haina shaka nipo nimetulia nalamba asali na kutafuna masega..Sipati nishai lakini najenga afya!
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Awali ya yote naomba nikiri mbele ya hazala hii kuwa uzi wa 'jf udaku' kwangu ulikuwa ndo sredi of ze year 2011. Kudos kwa aliyeshusha uzi huo (jina la mdau husika memory un reachable). Ndugu...
14 Reactions
265 Replies
20K Views
University students waliingia kwenye quiz ya kuongea, two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie. Kwakuwa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
mc ukumbini katika kumpamba bi harusi akasema, 'sasa nawapa sifa kubwa za bi harusi, tangu nimfahamu bi harusi hajawahi kuvaa nguo za ndani' watu wakaduwaa. Akasema 'narudia kwa msisitizo na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
A Man was sick and tired of going to work every day while his wife stayed home. He wanted her to see what he went through so he prayed: 'Dear Lord: I go to work every day and put in 8 hours while...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jaman wana jamvi,huyu washawasha yuko wapi na ile nalog off yake au amebadili user name,tafadhal mr/miss washawasha popote ulipo ebu jitokeze jamvin japo tujue km upo hai.
0 Reactions
1 Replies
875 Views
jamani kwa watumiaji wa barabara ya tegeta kuna matrafiki wametanda barabarani wanakula vichwa kama hawana akili nzuri kama una gari, hakikisha umejipanga.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani hapana hili wazo la kufungwa kwa mtandao wetu, unaotusaidia kifikra ,kimawazo. Sikubaliani nalo na hoja iliyotolea jana bungeni, kuwa mtandao wetu wa kijamii, unapotosha jamii kwa kutoa...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
usmwage povu, ww jibu umepima? Na ulisubiri majib yako? Ndio nataka kujua kama umepima uzito wako karibun. mm nimepima nina kilo 47. GM
0 Reactions
12 Replies
998 Views
Leo nilipita sokoni Majengo hapa Dodoma katika kujipatia bidhaa, wakati nazunguka sokoni nikaona sehemu mama mmoja anauza Ubuyu (wenye rangi mbalimbali pamoja na unga wake). Nilivutiwa kwenda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni style mpya nawapa ya matangazo ya kifo incase ukiondokewa na ndugu yako kama ameishia la saba unaandika burian mr/mrs /miss sososos(certificate prmary school,mbagala)) KUNA MTU AMETANGAZA...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
thuuGikamak (61)RAP (53)uhuru1 (48)FVALyugi (43)Upande27 (40)Muhamed (40)janja pwani (38)wangokhoshauriyakobruetooth (35)ThatoonyombikiddokokushekyawadondoKateDaring52 (31)junejmarcial...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Swali la mama Lwakatare kwamba JF anatoa maneno ya uongo na uchochezi................... Source; TBC1 Bunge live
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimeikuta hii kitu leo inawezekana wengine tayari walishaona. Ni kifaa kizuri cha kutumia mjini halafu bei yake sio ya kutisha sana. Bongo zimeshaingia kweli? Maelezo yake yako hivi: Toyota FJ...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa na marafiki wa3, na kati yao mmoja alikuwa anatembea na mke wake. Siku moja akawakaribisha wote wa3 kwa chakula na vinywaji. Wakati wanaendelea kunywa, jamaa akaingia ndani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nawakariibisha sana wakati huu tujumuike pamoja katika kuchafua jina lakini in the other hand unajenga afya. Mimi hapa nachafua jina kwa ugali na mlenda plus mtindi. Karibuni sana, sharti...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Its time to sit down relax and learn Chinese in as little as 5min Open the attachement below
0 Reactions
1 Replies
2K Views
baba kajibanza anashudia mwanae akiombwa game na jamaa: Jamaa: Nikubalie tuu kasuku sitaiingiza yote! Baba kakurupuka:Usikubali mwanangu hiyo haina mabega!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko? Viitikio: 1.Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO) 2.Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU) 3.Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom