Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na...
mheshimiwa atulali usiku vema .mwaka wa saba sasa .tumelalamika mpaka tumechoka .kwa katibu kata .diwani ccm sombetini .mkurugenzi jiji .magazetini .kamanda wa polisi arusha .kituo cha sheria na...
Nimeapa kwa mwendo huu lazima nami nitungue kausafiri kangu soon, by any means necessary. Nimefika Posta saa 12 jioni kufuatilia dili zangu. Nimemaliza narudi kituoni nasubiri gari ya 'kwetu' wala...
Habari wanajamii?,sio siri huyu dada/mama Faizafoxy maarufu kama FF namkubali sana kwenye post na uachangiaji wake. Yaani kama nisipopata kitu basi ntacheka sana the way ana-comment,.hongera...
Wala usishangae.
Mimi nimekutana nae mwaka huu.
Amenidanganyadanganya nikaanza kumshtukia kwa kua amesahau chanzo cha sisi kukutana ni hapa hapa jf na bado ananiambia anaishi ivory coast...
Thursday, 02 February 2012 07:47
Joseph Lyimo,Babati
MKAZI kijiji cha Gehandu,Wilayani ya Mbulu Mkoani Manyara, Gainame Mori (61) amefariki dunia baada ya kukabwa na finyango ya nyama...
nilikuwaa leo naskilizaa mazungumzo ya radio flani,nimeskiaa habari kubwaa zilizo tawala bunge leo mojaa ni kuhusu JAMII FORUM...eti kuna mbunge ameistaki kwa wabunge kwambaa ni mtandao unao...
halo wana JF hivi salamu yetu tanzania ya "shikamoo" ina maanisha nini. Mana mfano kiingereza kuna "good morning" ambayo ni wishes. Naomba clarification.
Mwanamume mmoja alimuomba Mungu amjalie ageuke kuwa mwanamke kwa sababu alihisi mke wake anafaidi kubaki nyumbani wakati yeye anapiga mzigo masaa kumi mfululizo.
Mungu hakuwa hiyana, asubuhi...
Mzumgu mmoja alishiriki bahati na sibu ambayo mshindi wa kwanza anapata kiasi dola milion 1oo baada ya kushiriki akapigiwa cm na hiyo kampuni inayoendesha huo mchezo kua yeye ndiye mshindi wa...
Bosi mmoja alipata sekretari mrembo mno.>>Wiki ya kwanza bosi akamhonga yule sekretari simu ya laki 8.>>Wiki ya pili bosi akamnunulia seti ya sofa ya milioni 3.>>Wiki ya tatu bosi akamhonga yule...
sijui kama hii ni kwa wadada wote au wachache tu,
ila nimeona wadada wengi wakishoboka sana wakiona mkaka ana mkoko...
burudani ni pale unakuta mshkaji ni dereva tu wa gari ya ofisi fulani...
10. Taxi Driver
Driving is stressful, especially when you have to move around the whole city encountering traffic jams, noise, blaming passengers, recklessness, safety of the passengers and many...
For the past 2 weeks nilienda kijijini kwa kazi zangu za field, sasa nilikuwa na wengangu wawili ambapo tulifikia ki guest house fulani ambacho kwa nje kuna Bar ambayo nahisi ni kubwa kuliko zote...
Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya kutembea na mke wa jirani yake. Mke huyo wa jirani yake alimpenda sana hawara yake huyo wa nje. Kwa kuwa alimpenda sana alizoea kumpikia wali wa nazi na kuku na...
Heshima kwenu wadau wote wa burudani, atleast wekend inaanza maana stress za weekdays sio mchezo, wakoloni wanatoa deadline kama hawana akili nzuri,
Tuache yote wapenda burudani leo utakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.