JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mie nilisoma hii shule "O" from 1987 - 1990, Iko mgodi wa Almasi Shinyanga Fufahamiane mlioko humu asanteni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Serikali imeamua kufuta wizara ya afya na kufuta kabisa ajira ya madaktari na wauguzi ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku maduka ya dawa za binadamu na kuwataka watanzania wasiugue tena, serikali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuachwa katikati ya jangwa bila kitu chochote au kuachwa katikati ya bahari na mtumbwi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nenda katika msitu wenye nyani wengi.Msitu huo uwe na akina mama wanaokata kuni,kufunga mizigo ya kuni na kuibeba kichwani.Daima nyani huwaangalia kwa makini sana hawa akina mama wakidhani kwamba...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
je ushakutana na kichekesho ambacho hakichekeshi halafu unaona watu wanacheka? au ushatoa kichekesho ukajua watu watacheka alafu wasicheke? Utajisikiaje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
dar joto,dom joto,singida joto,moshi joto,hv dawa ya joto ni nin
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ebwana daaaaah!!!!! CHEPE alikuwa anamlalamikia rafiki yake kuwa Kiganja chake kinamuuma sana, inabidi akamuone daktari.... Rafiki yake akamjibu... "Haina haja ya daktari.. Kuna computer...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni rahisi kweli watu kuwa nyuma ya computer na kumuattack /bash a.k.a kumponda mtu mwingine kwa muonekano wake hata kama mpondaji hamjui mhusika kwa sura kwasababu tu yeye haonekani. Yani...
8 Reactions
85 Replies
5K Views
Ushawahi kuwa mmbea? Ulishasutwa? Mi niliwahi zamani kidogo wakati nikiwa darasa la nne nadhani, na nilivunja urafiki na my 'then' best friend kwa huo umbea na hapo hapo nikakoma. Kulikua na...
1 Reactions
104 Replies
8K Views
mwisho wa mwezi ndo huu siku ndo zinazidi kwenda maspid,je utapopata cha mwisho wa mwezi chako utakifanyia nini
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeleta uzi huu hapa ili nipate majibu ya haraka, laazizi wangu hapa ameninua kalala mzungu wa nne kisa eti ameniona ninachat kupitia JF
0 Reactions
25 Replies
2K Views
.......Wana JF nadhani mpo salama, leo nimeona si vibaya kuongelea mavazi haswa yanayoendana na umbo lako. Kuna hii tabia haswa kwa wanawake wenzangu unajua kabisa tumbo lako limelegea na wewe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
interview 2015 Kusinzia bungeni ni dili kuliko kumtibu mgonjwa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
P - Unit & Sauti Sol - Gentleman - YouTube
1 Reactions
22 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
836 Views
.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
mume anaingia ndani kutoka kazini na kusema."mke wangu nina matatizo makubwa" "sema tuna matatizo mume wangu sisi tu mwili mmoja" mke anapoza "ok! tuna matatizo mke wangu, tumempa mimba secretary...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dah,hii kali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Valentine ndio hiyoooo inakaribia lakini mpaka sasa sijajua nitatoka na nani. Mpenzi wangu wangu ambaye nilitegemea ndio nitatoka naye tumeshaachana kwa sababu yeye alinitenda. Sio siri wana JF...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom