JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwenye nyumba nyingi za kupanga Uswahilini chooni kunakuwa na Kopo la kutawazia, na mara nyingi hutumbukizwa kwenye ndoo ya maji iliyopo chooni. Lakini mbali ya shida ya kulenga shimo la choo au...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Halafu unakuta limewekwa maeneo ya Moroco pale karibia na mataa lilipo lile tangazo la Airtel..
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamaa wawili mafariki sana walikuwa na tabia ya kuchangia wanawake, mmoja akishampata anamtaarifu mwezie yule pale tayari na mwezie anatia jitihada mpaka anampata na haya ndio yakawa maisha yao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haja ndogo = short call haja kubwa = long call kujamba = missed call
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekucheki tu tangu jioni ile, sipendi ugomvi wa pili mwaka huu... Usitafute nikakutangaza adui yangu namba 4 baada ya ujinga, umasikini na maradhi. Chochechonde ndugu, nina uzoefu wa kugombana...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Ninamzimia invisible kwasababu zifuatazo:- 1.., 2.., 3..., N.K
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Waungwana nauliza, hivi kufikiri kuna watu wanafikiri kwa makalio huko siyo kufikiri kwa makalio?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Awali ya yote nianze kwa neno : Zamani enzi hizo nilipokua nikikaa kwenye mazungumzo na wazee, hasa wenye rika la Babu au Bibi zangu nakumbuka walikua wakisema, HAKUNA MJI USIOKUA NA WAZEE ! kwa...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
..kichwa cha habari cha husika!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
afu unataka mchango mwez january au feb mwanzon, unataka unieleweje? kodi sijalipa ada za watoto na wadogo zet, kod za viwanja, nk nk sogeza sherehe yako march au april ntakupa ushirikiano murua
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Hawa wabunge wa Baraza la wawakilishi kila kukicha wako bize kutuonyesha wao hawataki mambo ya kuharibu mila na desturi zao za kizanzibari haya imekuwaje wameamua kutangaza pombe? Tazama hizi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kujitetea muhimu wadau.....usikubali kugeuzwa punching bag!fight. CRAZY: Caught On Tape Officer vs GANGSTA Thug In FIGHT BRAWL - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nataka kufanya biashara ya transportation.......kipanya/daladala....sijajua ninunue gari gani jamani?mie am not into cars...nimeingia ebay...minibuses...ninazoziona ni ford,ldv sioni toyota hiace...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuanzia leo nimeona kuwa ile link ya 'New Posts' haipo tena. Imeniwia shida sana kusoma posts humu jamvini kwa vile sijui nianzie wapi. Naomba kama inawezekana link hiyo irudishwe. Natanguliza...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana Jf kuna majengo meng hapa dsm yameandikwa sofia house, nani mmiliki wa majengo hayo.! Mwenye taarifa aiweke hapa.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
haya maneno nimekuwa nikikutana nayo hapa jamvini ila yamekuwa yakinipa tabu kupata maana ii think wana jamvi mnisaidie maana halisi ili niweze kwenda sawa na nyie... - nasikia huko nyuma maji...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Aking'arisha viatu wakati anaenda kupiga passport size( picha), 2. Kakaa kiti cha mbele... karibu na dereva halafu anamwambia konda shusha, 3. mtu akimwamsha mgonjwa ili ampe dawa ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
nimekua nikifatilia comments nyingi za watu facebook na hata huku JF..na hua nakutana na haya maandishi 'lol' kwa watu wengi..je haya maandishi yana hulka ya mwandishi ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
A man was driving down the highway with a car full of penguins. Penguins sticking out the windows, penguins coming out the sunroof, penguin everywhere. A cop pulled him over and told him if he...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba zile Koo ambazo wamezaliwa wanaume wengi au wanaume watupu zina ushirikiano kidogo sana miongoni mwao kulinganisha na zile Koo zenye wanawake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom