JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
[ILIKUA NI LIFTI - VIJANA OCHESTRA(Hamza Kalala)] Haikua jambo baya kwangu Kwa yule kijana kumpatia lifti Kama unavyohamu yapata wiki ya tatu Gari langu lina matatizo ya kuzimikazimika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
(1)Nikiwa matembezi mtaani hapa iringa,nimekutana na bibi kizee mmoja kalewa ulanzi chakareee anatembea kwa kujishikilia ukutani huku akiimba wimbo wa Dogo Aslay;(Tena inaniumaaa...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Unapomtambulisha mchumba wako kwa wazazi wako kumbe ni ndugu yako wa toka ntoke unapotangaza umefaulu shule kali kumbe umefananisha majina unapojifanya unasoma gazeti la kiingereza kwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
jamani ninapoangalia documentaries za wanyama mbugani na kuona jinsi simba na chui wanavyowanyanyasa wanyama wenzao, ni mnyama gani wewe unajua ni mzembe katika kuwindwa na simba na chui
1 Reactions
49 Replies
15K Views
Wanajamvi wenzangu, katika kupambana na hali ngumu ya maisha, nimejiingiza kwenye fani ya uigizaji, na filamu yangu ya kwanza kushiriki inatoka wiki ijayo, inaitwa In the Line of Death… Katika...
1 Reactions
81 Replies
5K Views
Wakati nafanya kazi uingereza,masharti haya yalikua yamebandikwa ofisini kwetu: 1. Marufuku kucheka ofisini > Kucheka kunapunguza concentration kazini 2. Hairuhusiwi kwenda kujisaidia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Padre akiuliza umati kabla ya kufungisha ndoa kanisani "kuna yeyote mwenye kipingamizi ndoa hii isifungwe?" Sauti ikasikika nyuma "padre subiri kidogo." Kisha jamaa akasogea mbele mbele. Padre...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
jana nilkua na gelfrndz wangu wawili na tukiwa club tukakutana na kaka wawili nao ni rafiki zetu. Bada ya kupata shots kwenda mbele mm na wenzng tumeshtukia tupo kitandan lkn wote hatukumbki...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
Niko eneo la Ukonga, eneo la mombasa,jirani kabisa na ukumbi maarufu wa wenge. Kumefurika umati wa watu! Watoto kwa wazee! Katikati yuko mtu mmoja anakilemba chekundu. Nyuma yake vijana 3 wanapiga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
nashangaa nlilikuwa nasafisha nyumba mara nikamwona buibui kakamatwa kwenye web yake mwenyewe kafa, nikajiuliza kumbe waweza tega ukanaswa kwenye mtego wako mwenyewe au ni wazembe kama wale nyumbu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mtu yoyote yule anayeweza kuniambia hii picha ina wanyama wangapi? hebu angalia hapo chini
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jaman mko wapi members wa kituli sekondari.Enzi za akina elisante,kombo salehe,Ester kapanda,sabas michael,moza rashid,deus Maganga,Nawamiss sana jaman.Wapi kadama malunde,anthony pius.Enzi za mwl...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mteja siku#1;naomba chakula cha mbwa. Muuzaji;Una mbwa kweli?,sikuuzii mpaka umlete huyo mbwa.> Mteja siku#2;naomba chakula cha paka.Muuzaji;sikuuzii mpaka umlete huyo paka wako nimuone...(siku...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani namuomba mkuu "Invisible" awatangazie wana JF popote pale walipo tukutane japo mara moja na kuweka historia. Ila itabidi katika mkutano huo kuwe hakuna pombe wala kitimoto! ili kila mmoja...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mgonjwa:daktari nina matatizo ya kuota kila siku panya wanacheza mpira Daktari:basi nitakupa dawa utumie leo ukifika nyumbani Mgonjwa:daktari nitatumia kesho mana leo ndo watacheza fainali
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna jamaa alikua muongo kupitiliza ila tatizo anasahau haraka anapodanganya. Kuna siku alikua anawahadithia watu > Juzzi tulienda polini kuwinda,tukamwona swala tukaanza kumkimbiza mi nilikua...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
siku moja gangsta aliamua kuacha mambo ya ujambazi na kumrudia mungu.siku ya kutoa ushuhuda ilipofika hali ikawa hivi mchungaji:unajiskiaje kuwa katika bwana gangsta:man it was f*kn unbelievabo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mganga wa kienyeji alienda msituni na watu wake. Wakaenda wakafika kwenye mti wa mizimu. Basi mganga wa kienyeji akawambia watu wake. Mimi napanda juu ya mti. Nitakachoongea kifatisheni, hakuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom