Mambo zenu wanajamii wenzangu,
Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na mwanzo wa mwaka mpya wa 2012,binafsi mwisho wa mwaka niliumaliza kwa kutembelea sehemu mbalimbali za Dunia,basi nilipofika...
Mtalii mmoja alienda zenji na watoto wake. Wakiwa wamepumzika baada ya kuogelea pamoja na waswahili wengine, kumbe na Bi Kidude naye alikuwamo akipiga mbizi-si unajua tena bibi anadai ktk maisha...
Nilikuwa maeneo ya upanga karibu na kituo cha polisi cha zamani ambacho kimehamishwa Ghafla ikasimama gari mbele yangu. Mtu mmoja mwenye mvi na kitambi kikubwa akateremka na kuanza kunifokea...
Nawatanieni tuu Jamaniii hamna unyama wala nyama, najua wengi watafungua post hii.
Mi nawatanieni!!
Utani huwa c lazima watu wacheke wengine huchukia, ni kama wewe kichwa cha habari kimekuvutia...
Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam...
[Newston's girlfriend];Baby,How do i look today? [Newton];You look (TAN C/SIN C).>>> [Newton's girlfriend];Whaaat!?>>> [Newton];I mean SIN C/{COS C*SIN C}=SEC C.
Bibi anasikiliza chumba cha pili ambako jamaa linaelewesha mjukuu wake kama ifuatavyo; NAINGIZA KICHWA TU...., bibi anarukia maneno... mjukuu wangu..haina mabega hiyo ikiingia kichwa inakwenda...
Kuna Jamaa alienda Congo (Zaire) Katika Kutembezwa na Mwenyeji wake katika Jiji la Kinshansa wakakatiza katika mitaa karibu na soko kulikuwa na Njia ndogo na kwa mbele ya ile Njia kulikuwa na...
Wanabodi.
Kuna tangazo lipo pale barabara ya Kawawa, Magomeni Morocco ukiwa unaelekea Kinondoni.
Kuna tangazo la picha kubwa wapo Freeman Mbowe na rais Jakaya Kikwete wameshikana mikono huku...
Habri zenu wana JF,huyu mtu nimemmiss sana jamani amepigwa Ban kwa kulog off au imekuwaje?
Kwa jina anaitwa Washawasha,sijamuona toka mwaka jana au na yeye amekumbwa na mafuriko?
Mwenye taarifa...
Jambazi amevamia nyumba
akataka kuiba na kuwaua
wenye nyumba...
"Kabla sijawaua nitajieni
kwanza majina yenu"
Mama: naitwa Zaituni jambazi: wewe sikuui kwa
sababu mama yangu
anaitwa...
Mashalah mtoto si haba ..
Kujaliwa kajaliwa..
sema uzi wenyewe umefungwa kwa ridhaa yake..nime m pm mtoto kakausha ..dah..
ukipenda niite double dii..mtoto lazima nimweke kwenye himaya yang ..ndo...
Mama mmoja alitaka kumnyonyesha mwanae ndani ya daladala, Mtoto akakataa.
Mama akamwambia tena mwanae nyonya kana hutaki nampa anko hapa anyonye
jamaa alie kaa naye karibu, Mtoto akanyonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.