Mshindi atapatikana kutokana na jinsi posts zake zinavyomuelezea yeye alivyo, vigezo vya msingi tutakavyoangalia ni kama vifuatavyo:
1. Sense of humour, love, kindness etc
2. Level of maturity...
Jamani nimeangalia taarifa ya habari itv leo saa mbili nimesikitika kuona mchungaji mwingira na mshirika wake rose wanavyowatesa wanakijiji kwa kuwanyang;anya wanakijiji maeneo yao na kuwabomolea...
Kuna mashirika yanapaswa kubadili mfumo wake wa Utendaji kazi. Katika kuwezesha wateja kulipia bili zao kwa wakati DAWASCO wametoa mifumo mbalimbali ya malipo ikiwemo M-Pesa, NMB Mobile nk lakini...
Kuna jamaa alikuwa anatafuta kazi kwa muda,mara akafika kwenye Zoo moja kuomba kazi,akapewa kazi akatakiwa awe Gorilla a.k.a baboon,basi akawekwa banda la juu,akavalishwa sanamu akawa kama sokwe...
Je? Ni sahihi kwa tabia na desturi yetu Watanzania kwa Mwanamke kumhalalisha mnyama yeyote na hata kuku? Hili nimeliona jana katika pilikapili ya kuufurahia mwaka mpya kwa jirani zangu mwanamke...
Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma!
Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!
katika pitapita za leo nimemkuta muuza miwani pembeni ana bango limeandikwa.. FAIDA ZA KUVAA MIWANI
1.KUFICHA AIBU UKITEMBEA
2.HATA KAMA MBAYA UTAONEKANA MZURI/HB.,
3.USAIDIA KUFICHA WALE...
Jamani hivi humu jf kuna wangapi huwa wanasherehekea hiyo sikukuu? Na vp maandalizi yake watu huwa wanaandaa menu kama kawa?siku nyingi naisikia hii siku kuu ila wahusika sijawahi kuwaona.
Nilipowauliza kulikoni raundi zinazungushwa as if hawayaoni hayo maji, wakanijibu, eti waogope maji kwani wao ni wakinakatope?
Ikabidi niondoke taratibu na siku kadhaa baada ya tukio hilo...
Yaani mi sijui nanzie wapi maana nimepita katika haya makanisa mapya, tena mengi ni yale yaliyopanga kwenye chumba cha 12x12. Nusu ya chumba kinamezwa na spika. Basi wakianza utasikia...
Kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Tanzania haswa jiji la Dar tofauti na miaka ya nyuma watu wameuanza mwaka mpya jana lakini tayari wameshachoka hawana matumaini wapo wapo tu ndugu watanzania...
4 REASONS WHY DOGS ARE BETTER THAN WOMEN
1)dogs obey when u shout at them 2)dogs dont shop(shoping)
3)u can give away your dogs children but not woman child
4)any guy can get a good looking...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.