JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
4giv me father i hav sinned. Nimetenda dhambi nahtaj padri mwenye upako niungame. Bwana Yesu asifiwe.
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Kuna mzee mmoja alikua anawasumbua sana vijana waliokua wanavuta bangi karibu na nyumba yake na kutishia kuwaitia polisi. Basi wale wavuta bangi wakapanga mikakati ya kumkomoa yule mzee ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
During a reception, the groom was called upon to give his vote of thanks to his guests and this is what he came with. 1. I want to first of all thank the Lord Almighty for creating my wife and...
0 Reactions
1 Replies
22K Views
A 50- year-old lady who was dying of cancer, asks God to give her 25 years more and God approves. After her successful operation, she underwent plastic surgery and gets facelift, lip tuck and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
From a Fan!! A man called home to his wife and said... "Honey, I've been asked to go fishing in Canada with my boss and friends. we'' be gone for a week.. This is a good opportunity for me to get...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
siku moja juma alisafiri kwenda mkoa wa mara alipofika alichukua chumba cha wagen,kwa kuwa alikuwa mchezaji(player) hivyo ilikuwa ngumu kulala peke yake.basi akatafuta mtu wa kulala naye...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
hivi ushakutana na hili! Mtu unampigia simu anakwambia eti amekumis sana kama ndivyo hivyo si ungenipigia au ungetuma sms! Mtu ana namba za sim za kwako, email, jf mko wote, facebook mko wote...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Bosi mpya katika construction site aliamua kuonyesha yeye ni mchapakazi hodari kuliko wa zamani.Katika pita pita yake,akamkuta jamaa amelala kivulini muda wa kazi.Akamuuliza;wewe kijana,kwa nini...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
kama nimepost kitu mana nikipost sioni.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Newton's third law states: "every action has an equal and an opposite reaction". So it would stand to reason that every proverb has an equal and opposite proverb. All good things come to those...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Abdallah alienda kwa rafikiye Rashidi akamueleza shida yake na kumwambia amkopeshe sh. 300,000.00 ili aende Handeni kutatua matatizo yake ya kifamilia: Rashidi bila hiyana akamkopesha 300,000 ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwosha maiti akiwa mochwari akashangaa alipofungua nyuso za maiti 3 na kuona zinatabasamu. Gafla akapiga simu polisi. Mwosha maiti:afande ebu njoo angalia hizi maiti 3 mbona zimetabasamu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
The real story happened in China, that can make you cry :( . . . . . . . なだや羅やわマヤな&#12383...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
MWALIMU: baba yako akikopa 5,000/= kwenye duka la mangi halafu akaenda kukopa tena 5,000/= kwenye dula mpemba, wakati wa kurudisha kwapamoja atarudisha sh. ngapi? MWANAFUNZI: Hatarudisha ki2...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha uzi. Mimi ni mzalendo sana, kwa muda mrefu nimekuwa mtumiaji wa mvinyo mwekundu(kwa vile bia chungu), nilikuwa napata uchungu sana kununua zile za Hispania, Italia, Ufaransa na...
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Wakuu sio kweli kila mchaga ni mfanyabiashara sio kweli kila mhaya ni malaya sio kweli kila mmachinga katokea ntwara sio kweli kila muokota makopo ni mwendawazimu sio...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
ki ukweli naomba niseme ukweli nimekuwa nikizunguka katika makampuni mbali mbali hapa mjini na hii ni kutokana na nature ya kazi yangu ila kiukweli makampuni haya BENKI MAKAMPUNI YA SIMU TRA...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni fursa sasa ya vijana mkaanza mchakato wa kupata utaalamu wa maswala ya customs na hivi jana nafasi za kazi zimetangazwa na TRA. Unangoja nini sasa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi
I am a new member. I hope u ar al fine.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna jamaa alikua anafukuzwa na nyuki,akakumbuka njia nzuri ya kuwakwepa nyuki ni kulala chini,basi akalala chini lakini wale nyuki wakawa wametanda juu yake bila kuondoka kwa muda mrefu. Jamaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom