Wakubwa kabla ya yote naomba niwatakie members wote merry x mass &happy new year
Ingawa sina muda mrefu sana tangu nijiunge na JF lakini kwa huu muda mfupi tu nimetokea kukoshwa mno na hawa...
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE
wengine siwafahamu.....
sikukuu ndio hyo hapo! Umejiandaa vip? Yawezekana uko home na familia au unatoka out na marafiki au unaamua kulala kama mimi. Angalia usije ukajiharibia maisha kwa tamaa na vishawishi! Mery Christimas
wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja. mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la...
Mzungu mmoja alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.
Wale waafrika...
Ok people kazi kwako but i should warn you acha umbea and stop bieng insecure but anyway u can trace anyone apa:
CELL PHONE GPS TRACKING by CELL PHONE GPS TRACKING COMPANY
Jambazi aliingia kanisani na bunduki akasema " Wanaosema wanampenda Yesu wabaki humu, wasiompenda watoke nje" Waumini wote wakatoka nje ndani akabaki mchungaji na wazee wawili tu. Jambazi...
jamaa wa kwanza alikula ugali mkubwa sana na gunia la chumvi, huyu akapata nafasi ya 3. Wapili alikula na kikombe cha maji, huyu nusura atangazwe mshindi akawa wa 2. Alieshinda alikula ugali na...
Katika Dunia ya warembo jina Mariam ni miongoni mwa majina yaliyobarikiwa sana kwa urembo,lakini kwa utafiti usio rasmi mariam(mary) hawajatulia kabisa wana mapepe(malaya).
Vilvile happiness huwa...
Ashakum si matusi Mods
Ashakum si matusi wewe unayesoma uzi huu yoo
Jamani dada zangu huu mtindo wenu wa kuonesha mstari wa matiti na matiti kwa juu sasa hv hailipi na hamuuzi tena,sasa onesheni...
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja.
Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga.
Wapo wanaotafuta...
Niki-log on mnajifanya hamnipendi na matusi tele mwanitolea lakini niki-log off hamchelewi kunitumia PM eti ooh sijui mnanipenda mara ooh eti sijui mnani-miss. Kuweni na msimamo nyie viumbe na...
Christmas is a day created by capitalists to increase public spending. HALLOWEEN NIGHTS, BEER FESTIVALS, MOTHERS' DAYS ETC ETC. Do we need all those? A peasant unlike celebrities spends an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.