Bwana mmoja na mke wake walikuwawamepanga nyumba ya chumba kimoja (studio) ambamo waliishi na mtotowao wa kiume wa miaka kama 4-5 hivi.
Hawa wanandoa walikuwa na kawaida yakupeana kakitu ka...
USIFIKIRI KUOLEWA NI KUPENDWA WENGINE WANAKIMBIA KULA KWA MAMANTILE,KUFUA NGUO WENYEWE NA WENGINE WANATAFUTA WASAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI...... SO KUWA MAKINI USIKIMBILIE NDOA...
mna kazi...
Muonekano wa kutoka kujipara salon? kama kuwivu,kusuka au lace wig na ma-tong? Na vipi kuhusu kope na kucha?
Au muonekano wa pamba za kufa mtu kutoka mamtoni na shoping plaza za Bongo? Je utakuwa...
Wakati watanzania wengi wakijiandaa kusheherekea sikukuu ya x mass siku ya leo kuna taarifa zimetoka zinazosema kuwa x mass imesogezwa mbele kutokana na wenzetu kukumbwa na mafuriko so...
Anakuimbia nyimbo tamu kwa sauti yake laini.
Anajipitisha pitisha mbele yako.
Mwishowe usipokuwa makini atakukalia kama alivyo maungoni mwako.
... Lakini hala hala ndugu,keshawapeleka wengi...
jamani hili jambo naona linaendelea kwa kasi katika jamii mtu kutishiwa au kuitwa kichaa wakati sio. Kwa kawaida kichaa hawezi kusema kuwa yeye ni kichaa bali atasema mimi sio kichaa bali wewe ndo...
...hivi ni kwa nini wengi wenu hamuwafikirii wasiovuta sigara mnapovuta sigara zenu? Utakuta mtu yupo katikati ya kundi la watu (hasa bar na sehemu nyingine zenye mikusanyanyiko ya starehe)...
Nilianza mbele kama kawaida! lakini akawa amechoka,nikamgeuza nyuma akawa analalamika mmh!,jasho likaanza kumtoka...
...nikataka nimuweke style nyingine ili nimuwekee mashine lol! Si akaanza...
Ni muda ule wa mwaka tena,
muda ambao watu husafiri safari za mbali kwa ajili ya kukutana na wapendanao sana sana familia.
muda ambao wengi huchukua likizo au mapumziko kutoka kwenye shughuli /...
He knows when you are sleeping! Santa knows when u are sleeping,he knows when u are awake.He knows if u have been bad or good so stop posting updates on JF as he obviously has an account!
Merry...
Kuku Baada ya Sikukuu kupa akiwa kapiga pensi lake Fresh wakati anatembea mtaani kwake kutafuta Panzi na wadudu wengineo kwa mlo wake wa siku akastuka kumuona Rafiki yake Ng'ombe bado yu hai tena...
Dah wana Jf honey wangu yeye ni mmoja wa wahanga wa mafuriko na amemaliza tu chuo mwaka huu pale UDSM,analia kuwa vyeti vyake vyote(chuo+A-level+0-level+primary) vmesombwa na maji hvyo anabidi...
Mtaani kwetu kuna jamaa huwa anawatongoza mabinti kwa gia kuwa uume wake una vijitawitawi, hivyo wakati wa mchezo vitawi hivyo huleta raha na msisimko wa ajabu.
Mabinti wengi sana humfuata huyo...
FACE BOOK BWANA..kwa hisani ya cheka upasuke
Mama Ajiunga Facebook Kwa Jina La *beib Loveee*
Baba Ajiunga Kwa Jina La *Pezda wa kitaa*
WOTE WAMEJIUNGA FACEBOOK KWA SIRI NA HAWAKUWEKA PICHA...
Tafiti zinaonesha kuwa asilimia 60% ya watoto wanaozaliwa nje ya ndoa huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wa ndani ya ndoa.
Sababu ni nini hasa?
SOURSE
Chunguza top ten ya uliosoma nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.