Dilbert's "Salary Theorem" states that "Engineers and scientists can never earn as much as business executives, sales people, accountants and especially liberal arts majors." This theorem can now...
Dia Amina nimekuja toka nje basi leo nimekukumbuka sana,hasa penzi lako lilivyo Zito kwangu yani mithili ya chuzi zito zito lenye rojo la samaki kitonga,aliyeungwa na nazi3,pilipili, na ngongwe...
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa...
Siku chache sana zimebaki kuingia mwaka wa 2012.. Mwaka wa 2011 umetuletea New artist
and new songs. baadhi ya nyimbo ambazo nimezipenda mwaka huu ni zifuatazo hapo chini....
Je wewe ni zipi...
Leo nilikuwa mitaa ya temeke jijini dsm,tulikwenda kwenye arobaini ya jamaa yangu,nilichokiona hadi sasa sijaamini!kama kweli binadamu tumefikia hatua hiyo,kama mjuavyo siku ya hitima wafiwa...
Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha
zake. Alipofika mapokezi aliuliza."Naomba kumwona meneja mkuu wa benki
hii"Mfanyakazi wa mapokezi...
Mi sio mpenzi sana wa filamu za bongo,lakini ikitokea siku nisipoiona dictionary yangu huwa naangalia filamu za bongo,sasa katika kuangalia hzi movie zetu kati ya movie zote nilizoangalia ikifika...
Zamani za kale kulikua na vita huko MISRI. Nyerere na Kawawa walikuwa moja ya wapiganaji wa vita hvyo. Wakati vita vimenoga ikatokea njaa kali. Nyerere akanyanyua kaa la moto akamwambia Kawawa...
Hii nimeikuta mchuzi. Inachekesha ila ina ka ukweli ndani yake!
Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za yesu.."Konda: "Vunga wewe, Yesu bado hajatoa album..."...
Waungwana, kuna majina ya ziada (a.k.a) mimi huwa yanayonikosha sana, ..na aya ni baadhi ya machache
1. Anne Makinda a.k.a Mama Posho
2. JK a.k.a Vasco da Gama
3..........a.k.a mzee wa...
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa...
Quote: "Mwalimu haya ni maisha yangu... nimejitahidi kusoma kadiri ya uwezo wangu lakini siwezi kujiamini asilimia 100% kwa somo lako na mtihani ni jumatatu nitahitaji msaada wako kwa namna yeyote...
Jana nikiwa class nilijikuta nashindwa kusoma baada ya kuka na mdada aliyenivutia kimapenzi.
Sikuficha hisia zangu kipindi kikiwa kinaendelea nikamweleza kwamba ukaribu wake pamoja nami...
Mwaka ndo huo unaisha,
je umejiuliza mapenzi yamekufanyia nini?
1.umetumia sh ngapi ukiwa baa na mademu ?
2.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu,
3.umetumia sh ngapi kununua vocha...
Kuna mzee mmoja alikuwa anashangaa sana maana kila akiweka whisky yake kwenye fridge akija kuiangalia baadaye anaikuta imepungua,siku moja akiwa pamoja na mkewe akaamua kumuuliza house boy wao...
mpemba mmoja alikuwa ana angalia movie ya kimarekani ikawa kila mara alikuwa ana sikia hili neno MOTHERFU,CK kama mara 50 akashindwa kuvumilia ikabidi aulize
"jamani nhyu mamaye faki ni maarufu...
Nakumbuka enzi zile............... siku chache kabla ya sikukuu kama hizi za Krismas na Mwaka Mpya tulikuwa tukiomba kununuliwa nguo za sikukuu. Endapo mzazi asipokununulia basi sikukuu haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.