Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kusema, "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo, karibu ndugu uliyeandaliwa kwa...
Konda:posta posta mia tatu twende posta kwa wazungu,
Jamaa:konda nisaidie mie nina mia tu!
Konda:hiyo mia nunua parachichi upake ma-ta-ko-ni uteleze mpaka posta
Je umejipangaaje? Hapo mwanzo Mungu aliumba ulimwengu na wanyama wake. Kila mnyama alipewa
miaka ya kuishi 30. Kati ya wanyama walioumbwa walikuwa Punda, Mbwa na
binadamu. Mungu akawauliza wanyama...
Habari Wadau,
Najua mtaponda kwamba me natumia FB,ila kiukweli 99.99% ya member wa JF wana FB acc,swali langu ni configuration gani wana FB wanafanya? Maana uki-update status kwa chini pale...
CHEKI HIZI STORY WALIZOKUWA WANAPIGA NAPE NA MNYIKA WALIPOKUTANA MSIBANI JUZI
"Nape:We dogo hivi kwa nini Hukuniachia jimbo la ubungo?"
Mnyika:Kwani mimi? si Mwenyekiti wenu akamweka yule mama...
Mmasai mmoja alikuwa anasafiri na Mkewe, usafiri ulikuwa wa shida lakini bahati nzuri likaja roli na Mmasai akawaomba wenye gari wantie mbele Mke wake na Yeye wamtie nyuma.
watoto wawil walikua wanashindana baba yake nan ndio brave.
1. Akaanza unaijua bahar ya pasific baba yangu ndn kalichimba lile shimo!
2.wapil akasema je unaijua dead sea? Baba yangu ndiye...
Jamaa alikatika mkono mmoja akaona MAISHA yanakua magumu, akapanda ghorofan ajitupe chini kabla hajajitupa akamwona mlemavu hana miköno yote akirukaruka kwa furaha, Akamuuliza "mbona unaruka ruka...
Majambazi watatu walivunja bank kisha wakazama ndani na kuanza kufungua sanduku moja baada ya jingine.Walipofungua sanduku la kwanza lilikuwa na makopo yenye vitu kama yoghurt,walipoonja zilikuwa...
Wakubwa nakumbuka enzi zile wakati bado nipo O&A Level kulikuwa na walimu wa ukweli wa tuition,waliokuwa wanapigisha mapindi ya maana hasa kwa wale tuliosoma shule za serikali,kwa tuliosoma comb...
Ndugu zangu,
Zimebaki takribani saa 26 kabla ya vituo vya kupigia kura kufungwa. Ni kwenye Pima- Maji ya http://mjengwablog.com . Anga ya mtandaoni imechafuka kwa vita kali ya kuwania kura...
Du wakubwa kuna hizi barrier zinakera sana unapo drive toka Arusha kwenda Dar or other way round.
1. Daraja la Nduruma yani hawa jamaa wanakera sana ila uzuri wao kama kuna malori yakutosha...
Vijana watatu wakiwa porini kwa ajili ya kutafuta kuni,kwa bahati mbaya mmoja wao alijikata kwa panga mguuni na kuumia vibaya sana.Wakaamua kumbeba kwa zamu kurudi naye nyumbani kwa sababu alikuwa...
Wife goes to supermarket, sees man's briefs on sale. She buys a dozen of the same colour.
Goes home and gives hubby.
Hubby protests, " Why buy me same the colour? People will think I do not...
enzi hizo radio tanzania, kumekucha, jambo tanzania, mchana mwema, chaguo la msikilizaji, salamu mkulima, pwagu na pwaguzi, bp ni zaidi, mama na mwana, majira, jungu kuu, mikingamo, ombi lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.