Mama moja alipofariki alijikuta amefika mbinguni,malaika akamchukua na kumtembeza ili kumwonyeshea maajabu ya huko mbinguni,akamwonyeshea saa mbalimbali za mishale zikizunguka haraka haraka na...
Ni kweli Mungu anasamehe lakini unapomueleza binadamu mwenzio ubaya huu
unategemea nini................????????????
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini...
...kuna wimbi la vijana wa shule secondary na msingi...wanaomba sana barabarani...mara naomba mia,..nimepoteza nauli...mara naomba hela nikanunue hiki...hivi wakikutana na watu wakawapa with...
Kuna utani kuwa waafrika wengi tukiwa tumelala usingizi, huwa tunaweka mikono yetu maeneo ya viungo vya uzazi wakati wenzetu wazungu huwa mikono inawekwa kichwani.
Hii tabia ya kuweka mikono...
One morning the husband returns after several hours of fishing and decides to take a nap. Although not familiar with the lake, the wife decides to take the boat out. She motors out a short...
Nguruwe=ulevi na uchafu>>>Mbwa=anapenda sana chini>>>Paka=uvivu na usharobaro>>>Punda=mjinga na anatumikishwa sana>>>Kuku=anajiona yuko huru wakati hayuko huru>>>Nyegere=ugomvi na ubishi usio na...
Mods tunaomba mrekebishe server time naona inasoma masaa matano mbele kwa mfano mie nipo tanzania na time ya post hii ni 21:57 lakini utaona 02:57 wakati mwanzo ilikuwa inatoa exactly time
-------- Ni kweli Mungu anasamehe lakini unapomueleza binadamu mwenzio ubaya huu unategemea ataogopa................???????????? Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu...
Teacher: What do you want to become?
Little Johnny: Doctor !!
Teacher: Why?
Little Johnny: Coz its the only profession where u can tell a woman
to take off her clothes and ask her husband to pay...
hizi mbeleko za cku hizi...duh...utakuta dogo kawekwa kwenye kikapu..mama/baba yuko mbele anaburuza kama vile unavoburuza begi ukiwa airport au kwingineko safarini...
swali langu... kuna kitu cha...
Sheikh Yahya Hussein kanitokea usiku.
Nimeongea naye mambo mengi sana.
Nimemuuliza kati ya Man na Barca nani
ataibuka mshindi?
Kaniambia Mtibwa lazima ishinde.
eti jamani nyumba standard ya vyumba vinne,sebule na jiko kuzungusha linta itanicosts shilingi ngapi???niko mbali na nahisi napigwa vibomu lol..
again,kutoka kwenye msingi hadi kwenye linta nyumba...
Wana jamvi,
Tumpongeze mtoto wa mkulima kwa kuwasaidia wananchi wa Kigamboni kwa kuwaanzishia MKULIMA VOCATIONAL TRAINING CENTRE ambacho kinatoa vyeti ya driving na ufundi mechanic,Hongera mtoto...
Wavuta bangi wawili walikaa wakiangalia jengo refu Dar, mmoja akamuuliza mwenzake, hivi ukiruka kutoka juu mpaka chini utachukua siku ngapi? mwenzake akamjibu kuwa ni siku 3. akauliza, oya ukifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.