JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yes. Namaanisha wewe na comments zako hapa jamvini. Much love and respect
0 Reactions
38 Replies
3K Views
najua wengi mtasoma hii thread kwa sababu mnapenda sana ushilikina
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THE RECOMMENDATION One day, an employee requests for a recommendation letter from his boss and his boss writes in lines as follows 1 Ema Kunya, my assistant programmer, can always be found 2 hard...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salma na Ali ni wapenzi wa muda wa miaka 2 sasa. Ali alikaa kijiweni na kusikia habari juu ya utamu wa kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile na kuambiwa hataweza kukuacha tena. Kwa kuwa Ali...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kudhibiti wizi wa side mirrors! Nawakilisha ....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya tarehe 2 oktoba 2011 wananchi wa Igunga kupiga kura za kumchagua Mbunge wao. Kuanzia tarehe 3 oktoba 2011, vichwa mbali mbali vya habari vya magazeti vitakuwa hivi : CHADEMA yapigishwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Leo asubuhi gari la mgombea ubunge kupitia CUF limegongana na pikipiki na gari kuharibika vibaya,cha kushangaza pikipiki haijaharibika hata kidogo na mwendesha pikipiki pia yuko salama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
A man went to an hospital for HIV test on Friday and was told to come back for the result on Monday. While in church on Sunday the pastor raised his hands & declared over the congregation that...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpka leo hii na kutimiza umri nilioufikia,wapo wengi wao hawajafikia umri wangu,Pili nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
bibi kizee baada ya kupiga kura igunga alikua anahojiana na mtangazaji mmoja. mtangazaji akamuulia;hali ya uchaguzi unaionaje? bibi akajibu;nimewapigia vidole vili.akimanisha chadema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Michango au ushuru wa bima ya afya tunayochangia au kukatwa kwenye mishahara yetu sisi watumishi wa serikali, inaweza kutumika kuwatibu walala hoi ili wasitozwe chochote wanapohudhuria medical...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika vichwa vya habari ktk magazeti leo, binti mmoja ametolewa na familia yake kama fungu la kumi kwa mchungaji. Source: gazeti la msemakweli
0 Reactions
14 Replies
4K Views
jamaa mmja alkwa ametoka morogoro kijijin alpofka dar aliingia kwenye bar moja na kuagzia soda mhudum akamletea soda ya bardi alpomuuliza mhudum mbna soda ya bard akaambiwa ilikuwa kweny frij tang...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1. If you're too open minded, your brains will fall out. 2. Age is a very high price to pay for maturity. 3. Going to a mosque doesn't make you a Muslim any more than going to a garage makes...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In the word there is a man and a woman, If ur a woman ur safe,but a man has to choose whether to be a civilian or a military one, If u choose to be civilian ur safe, but military one to go for a...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Malawi kupiga marufuku 'kupumua'? Malawi kukataza watu kujamba? Mzozo umezuka nchini Malawi kufuatia mapendekezo kutaka kufikishwa bungeni kuhusu kujamba, kuwa ni kosa. Waziri wa sheria wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wanachama wote wa CHAWAPUTA mnatangaziwa kikao kesho jumapili muda na mahali ni kule kule kwa siku zote...mada ni kupokea wanachama wapya, kupata updates za sabuni mpya na bomba kwa haya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
YANAYO TUFANYA TUWE WASWAHILI... 1.Unawasalimia watu usiowajuwa na kutaka urafiki na kila anayetaka kuzungumza na wewe, halafu unaanza kumwita mtu huyo(usiyemjuwa undani wake wala tabia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba kwa kila atakaye contribute hapa ajibu "PAWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA" A bold kabisa wakuu, ntafarijika sana tena sana tu
0 Reactions
50 Replies
4K Views
nimewiwa kuomba watanzania 2015 tuaachane na ukaskazini na kusini sasa tuweke watu wenye akili zao na ambao wanawae kuendeleza nchi hii bila kutumika kama washmba pale magogoni nimewiwa kusema...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom