JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa mmoja alilewa sana pombe. Usiku akiwa amelala akaota ndoto anapaa na akafika mbinguni. Akawa amefurahi sana. Baadae akamwomba mungu ruhusa arudi duniani kidogo.wakamwambia ukishafika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ktk katiba mpya kiwekwe kifungu kuwa kila mmoja amuoe aliye mtoa bikira. Je! Huyo uliye nae utamuoa au ataenda kwa aliyemtoa bikira?. We utampata wa kuoa au wa kwako wote uliwapata tayar...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwanini watani zangu wachaga wakicheza ngoma zao hushikana mikono yote.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Someni, kuweni serious kwenye shule, mmepata fursa ya kuwa kwenye familia inayowasapot ipasavyo kwenye elimu halafu mnaleta upuuzi kwenye mambo muhimu. Tambueni wapo wengi wanaotamani kuwa kama...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m...... na hapa nazungumzia mti,mimea miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Kuanzia features, text inayoweza ku support, graphics, storage capacity, aina ya data inayoweza kuhost, user friendship n.k. Kwa vigezo hapo juu na vingine vingi, je ni mtandao gani unaokuvutia zaidi
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Salaam wana JF Wakati nasoma Sua, ue ya kumaliza semister ya pili, nipo kwenye pepa, bado kama maswali mawili. Msimamizi akatangaza kuwa bado ten minutes. Mtu mzima nika "piz" (kitu kikasimama...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
It can buy a bed-----------but not sleep It can buy a clock----------but not time. It can buy you a book-----but not knowledge. It can buy you a position----but not respect. It can buy you...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
kwa wanao amini; ivi mbinguni tutapewa miili na rangi mpya let say watu wote tuwe wa blue,au wote tuwe black kusiwe na masuala ya wazungu na waafrika, waarabu n.k wale washkaji kina emolo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam JF! Kila niki Quote thread au niki edit thread kuna herufi kama hizi <br /> Zinatokea <br />. Nimechunguza hata kwa wachangiaji wengine zimekuepo kwenye uzi zao Ndio virus au nani...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Saw this somewhere. Thought that I should share:wink1: Welcome to Dark es salaam.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Arsene Wanger's alarm goes off, his wife wakes him up and say Wife: Wake up dear its 9 Wanger replies," 9?? Have they scored again?"
2 Reactions
22 Replies
2K Views
I remember one day when Flo went to a wedding counselor and complained their never ending fights. The counselor advised Flo- when he starts talking you just keep quiet. FLO left happy and eager to...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Marafiki wawili,kipofu na Kiziwi walikuwa na Maongezi kama ifuatavyo.Kipofu akamwambia mwenzie(Kiziwi) kwa ishara;"Jana nilichelewa sana kurudi nyumbani,wife alinibwatukia sana,ili kuepukana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Imegundulika kwamba maskini anayeishi miongoni mwa matajiri hufa haraka kuliko masikini anayeishi miongoni mwa masikini wenzie.Mtu jana kalala njaa,anamka asubuhi unakutana na mtoto wa jirani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamaa wawili wakitoka matembezini saa 6 usiku waliamua kutumia njia ya mkato kupitia makaburini kurudi makwao.Wakiwa katikati ya graveyard mara wakasikia mlio kama mtu anagonga kitu,tap-tap,jamaa...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Muitalaliano mmoja baada ya kulala na changu akampa dola feki. Baadae akampigia simu akamwambia, "Dollar i gave you is fekelo". Changu akamjibu, " The HIV I gave you is originero"
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hebu tuorodheshe ugumu wa maisha au vitu vinavyopelekea ugumu wa maisha katika awamu hii ya kikwete. - mafuta kupanda bei. - umeme mgao usioisha. - upandaji wa nauli wa kihorela. - network...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa na mke msamaria mwema sana.Mumewe akinunua vitu yeye lazima agawe kwa majirani.Kutokana na ugumu wa maisha,mume akachukua uamuzi wa kumgawia vitu vyote vya matumizi mkewe kila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna jamaa mmoja alikwenda kuoa huko kigoma, harusi ilipokwisha wakaenda mapumzikoni(honey moon) na mkewe. walipomaliza hiyo honey moon jamaa akarudi kwa wakwe zake kushukuru kwa vitu vzuri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom